moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
  2. JamiiForums Tanzania Apple walitumia zaidi ya Trillion 25 kwenye Project Titan na ikafeli bila kutengeneza ata gari moja la kuzugia!

    Wanavyosemaga Kampuni la Teknolojia Apple lina hela hawatanii. Ndio maana kuchoma Trillion 25 kwa miaka 10 kwenye R&D, kwao ni hela ndogo (hii ni sawa na net profit ya mwezi mmoja!) Sasa, hawa jamaa mwaka 2014 walipata wazo la kuingia kwenye sekta ya magari, na kutaka kutengeneza gari la...
  3. JamiiForums Tanzania Producer maarufu nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.

    Wakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni. Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja alivyonavyo kwa sasa, anauwezo wa kikiuza kila kimoja kwa milion mia tatu.
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana siku moja Rostam Aziz akagombea urais wa JMT?

    Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii. Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

    Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon. Mungu ana njia nyingi za kusema na watu ila njia nyingi wengi huchelewa kuzijua. Macho yao...
  6. JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifa
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
  8. JamiiForums Tanzania Pita hapa nikukumbushe jambo moja zuri sana, Kisha uliishi na ukapate baraka, ukabalikiwe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO Neno la MWENYEZI MUNGU katika kitabu cha nabii yeremia 2:19 neno linasema, uovu wako mwenyewe utakurudi maasi yako yatakukaripia, ujue basi, ukaone ya kuwa ni jambo baya sana na uchungu, kwa kuwa umemwacha, BWANA, MUNGU wako, na ya kuwa moyoni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samia aahidi trekta 10,000 karibu kila kijiji trekta moja

    === Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija...
  10. JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa simu nzuri kwa bajeti ya shilingi milioni moja

    Salaam Wakuu, Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000]. Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda. Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je!naweza kuunganisha floot swith 3 kwenye pump moja?

    Yaani nina karo la maji nimechimba chini nimeunganishia gutter zote za nyumba na maji ya kisima chani nimetoboa , na hili karo linajaa maji lita laki 3 Sasa nina ma tank 2 juu nimeweka ya lita efu 5 tano yako kwenye towel yake sasa nataka hapa chini nifunge pump (surfes pum) alafu huku juu...
  13. JamiiForums Tanzania Abiria wanene Kulipishwa siti 2 badala ya moja

    Shirika la Ndege la Southwest Airlines Nchini Marekani, limetangaza sera mpya ambayo itawaathiri moja kwa moja Wasafiri wenye miili mikubwa ambao kuanzia Januari 27 2026 watalazimika kulipia siti mbili badala ya moja iwapo miili yao haitoenea vizuri ndani ya siti moja. Kabla ya sera hii mpya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!!

    JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!! Wana Vunjo wote na Watanzania kwa ujumla, jambo kubwa limewadia! Leo tunapiga mbiu ya mgambo: Kipenzi cha Wanavunjo, Enock Koola, kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  15. JamiiForums Tanzania Baada kushindwa kupambana na Hamas Israel inapambana na raia na watoto ililenga moja kwa moja waokoaji wa Kipalestina hospital Nasser. Khan Younis

    Wanaukumbi. Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis. Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others ================ Israel ililenga moja kwa moja...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y. Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
  17. JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
  18. JamiiForums Tanzania Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

    Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
  19. JamiiForums Tanzania Shetani punguza masharti. Hili sharti la kupandana watu wa jinsia moja linatumalizia vijana wetu

    Hello! Wanaume wanapopandana au wanawake wanapopandana wao kwa wao automatically ni kama wanajiengua kwenye idadi ya watu duniani. Kama kwenye familia au ukoo mko 50 na 5 wamekuwa mashoga na wasagaji hiyo familia inapaswa kuhesabika mko 45 tu. This calculation also can be applied in national and...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mkwamo katika kuhusu uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda mkoa mwingine

    Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…