moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Makonda kuteuliwa kuwa waziri wa habari maana yake ni moja tu

    Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze.. Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that.. Uzuri ni kwamba hata...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

    My people, Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayokeketa mabinti yanajitetea ni kuwatuliza waishi na mwanaume mmoja ila kwa sifa walizonazo huku mitaani ni tofauti kabisa

    Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
  4. JamiiForums Tanzania Tumuombe Trump atoe kauli moja tu..Samia ajisalimishe.

    Hapo vip! Kwa mauwaji ya kishetani na yakidharau yaliotokea oct.29 na 30 lazima wahusika nao, wateswe na kuuwawa vile vile. Ameuwa kwa upanga naye auwawe vile ni mtu mbaya sana huyu. Watanganyika tuendelee kupaza sauti dunia haswa kwenye account ya Trump. Watu wameuwa mbele yangu ,hawa...
  5. JamiiForums Tanzania Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaibuka kwa zamu , na hawalandani japo wote ni wa kaya moja

    Huyu hehe kaibukia madhabahuni kwenye mkesha akatapika nyongo za mafumbo kisha karudi mafichoni.. Nina hakika alikuwa na ulinzi heavy Sana na mbinu za kivita mpaka alipofanikiwa kurudi mafichoni Mwingine mkubwa kuliko yeye akaibuka kwenye salamu za mwaka mpya.. Lakini hadhira haikumpokea vema...
  7. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwaheri 2025. Umetufundisha jambo moja kuu kuwa HAKI lazima ipiganiwe

    Kitabu cha Torati kinachosomwa na dini kuu 3 duniani yaani Uislamu, Ukristo na Uyahudi kina hadithi ya kusisimua sana kuhusu nabii mmoja wa kale aliyeitwa Mussa. Hadithi ya maisha ya Mussa inafundisha kuhusu jambo moja kuu nalo ni HAKI. Hii ni kwa sababu, Mungu alitaka kuwatoa waisrael...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  11. JamiiForums Tanzania Jux anaigiza kwenye tamthilia moja Nigeria

  12. JamiiForums Tanzania Nawaombea sana moja kati ya timu za kiarabu ichukue AFCON, kila la kheri kwenu

    Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

    Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Kaka wa Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ila hiyo nchi ikitaka kuwachukua siku moja ni mifano tosha kwenye mapinduzi

    Huyu kaka yake Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ndio maana serikali ya CCM mafwere iwezi kuzungumza chochote wala kujibu. Wakijibu ni kama wanamgusa mwewe na malikia marehemu. kwa sasa wabaki wakishindana na sisi wananchi kututeka na kufanya vyovyote,ila mpo mbioni kutekwa na nyie na kufutika.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  17. JamiiForums Tanzania Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  18. JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  19. JamiiForums Tanzania Vazi moja la taifa, matamanio yasiyoweza kufikika

    Salamu wana JF Hii mada ya vazi la taifa ni miongoni mwa mada zinazoonesha namna gani hatupendi kukubaliana na ukweli wa mambo sisi kama watanzania. Ukweli ni kwamba kama taifa lenye zaidi ya makabila 120 haiwezekani kuea na vazi moja la taifa tena tukabaki kuzingatia tamaduni zetu. Ni vipi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba alikuwa na ujasiri wa kumwambia Samia kuwa hapa ulikosea alipokutana naye jana? Fanya moja mbili tatu?

    Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia. Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa ya wananchi na chanzo kikubwa cha machafuki hayo ya 29 1. Katiba mpya 2. Tume huru ya uchaguzi 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…