The aliʻi were the traditional nobility of the Hawaiian islands. They were part of a hereditary line of rulers, the noho aliʻi.
The word aliʻi has a similar meaning in the Samoan language and other Polynesian languages, and in Māori it is pronounced "ariki".
Wataalamu wazawa zaidi ya 70 wamepewa mbinu za kisasa za kutoa matibabu kwa wagonjwa ili kupunguza madhara yatokananyo na dawa kwa wagonjwa nchini Tanzania.
Hayo yamebainishwa leo Julai 22, 2025 na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Hamad Nyembea, Wizara ya Afya kwa niaba ya Katibu Mkuu wa...
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Fhamaz Trust kutoka nchini Uingereza imeahidi kuchangia mashine mbili maalum za kuzalisha joto kwenye chumba cha upasuaji katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili MOI.
Hayo yamesemwa leo Julai 18/072025 na Bi. Zarnat Datoo ambaye ameambatana na mumewe...
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Fhamaz Trust imechangia matibabu kwa watoto 25 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa na wanaoendelea kupatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo leo Jumatano Julai 16, 2025...
Timu ya tathimini na udhibiti wa viashiria vya hatari ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza mafunzo ya siku tano ya kuainisha, kuchambua na kupendekeza njia za kukabiliana na viashiria vya hatari ili kuiwezesha taasisi kufikia malengo yake.
Mafunzo hayo yamefunguliwa...
Wananchi 1,908 wametembelea Banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara, Sabasaba 2025 yaliyomalizika leo Julai 13, 2025
Hayo yamebainishwa leo Julai 13, 2025 katika kilele cha Maonesho hayo na Daktari bingwa Mbobezi wa Mifupa...
Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameadhimisha kwa furaha na sherehe maalum siku ya 'MOI DAY 2025' , tukio linaloadhimisha mafanikio makubwa ya taasisi hiyo katika kutoa huduma bora za Kibingwa na Kibobezi za Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya leo Julai, 4, 2025 ametembelea banda la kutolea huduma la taasisi hiyo katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Dkt. Mpoki ambaye...
Wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa kushirikisha jamii katika tafiti za matibabu ya majeruhi wa kichwa na wa mivunjiko ya migongo kwa ajili ya kupata taarifa jumuishi zitakazopelekea matokeo chanya katika mnyororo wa matibabu ya wagonjwa hao.
Ushauri...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika kambi ya madaktari bingwa na wabobezi inayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Kambi hiyo imeanza rasmi leo Juni 23, 2025 na itafikia tamati tarehe 29, Juni 2025, ambapo Madaktari bingwa wa MOI wanatoa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki wiki ya Utumishi wa Umma inayofanyika katika Kiwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.
Huduma zimeanza kutolewa leo Juni 16, 2025 katika kiwanja cha Chinangali Park, Dodoma ambapo Daktari Bingwa Mbobezi wa mifupa MOI, Dkt Tumaini...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, akisaini kitabu cha maombolezo kwa heshima ya aliyekuwa Daktari Bingwa wa Radiolojia na Meneja wa Idara ya Uchunguzi MOI, Dkt. Mechris Mango, leo Mei 30, 2025. Dkt. Mango atakumbukwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeemdelea kung’ara katika matibabu ya kibingwa na kibobezi za mifupa barani Afrika baada ya kuendelea kuandaa mafunzo ya 10 kuhusu mbinu mpya na za kisasa za matibabu ya majeraha na mifupa kwa wataalam barani Afrika kwa kushirikiana na Taasisi...
Watumishi wanne waliokuwa wajumbe wa Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameagwa rasmi baada ya kupangiwa majukumu na Serikali katika taasisi nyingine za Umma.
Watumishi hao ni Dkt. Veronica Nyahende aliyekuwa Mkurugenzi wa Fedha na Mipango, Dkt. Paul Kazungu...
Ndugu wa wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameeleza kuridhishwa kwao na huduma wanazopatiwa wagonjwa wao.
Pongezi hizo wamezitoa leo Ijumaa Mei 23, 2025 katika eneo la kusubiria huduma, MOI Clients' Lounge lililopo katika Taasisi hiyo...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Dkt. Marina Njelekela ametembea taasisi hiyo na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Menejimenti ambapo amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kutoa huduma bora kwa wananchi.
Dkt. Njelekela ametembelea MOI...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepokea msaada wa darubini ya kisasa 'endoscope' ya upasuaji wa ubongo na mgongo kutoka kwa Shirika la Kimataifa la Cure International Limited, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha huduma za afya katika taasisi hiyo.
Akizungumza wakati wa...
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, Ngollo Malenya amethibitisha taarifa za Msanii maarufu wa singeli, Msaga sumu kupata ajali jana Mei 16,2025 wakati akirejea Dar es salaam akiwa anatokea Wilayani Namtumbo kutumbuiza kwenye mkesha wa mwenge.
DC Ngollo amesema "Msaga sumu alikuja Wilaya...
Wakazi wa Mbagala wamefurahishwa na huduma za kibingwa na kibobezi zilizotolewa na wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika kambi maalum ya matibabu iliyoandaliwa na Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato Tanzania (ATAPE).
Wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.