Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi.
Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa.
Hivi leo polisi waliofanya...
Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya halaiki ya tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 05 Novemba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya...
Wakuu,
Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
"Menejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru imesikitishwa na kitendo cha watu wenye nia ya kuzua taharuki kwa wananchi kutengeneza video yenye picha za miili ya watu ikiwa na maelezo kuwa video hiyo imerekodiwa kutoka chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali hii.
Tunapenda kukanusha kuwa...
GT
Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa.
Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni...
Hatusemi mengi.
Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau
Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala.
Serikali bado inasema...
Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia.
Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi.
Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela
alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake!
Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, amepiga marufuku kutozwa fedha kwa wananchi wanaotumia vyoo vilivyopo katika eneo la mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha-Mount Meru kufuatia malalamiko ya wananchi kwamba wamekuwa wakitozwa shilingi 200 kwa kila matumizi.
Akizungumza Agosti...
Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili.
85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.
Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?
Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema miili huzuiwa mochwari kutokana na madeni ya gharama za matibabu ambazo marehemu alikuwa akidaiwa pindi alipokuwa hai na si kushindwa gharama za mochwari.
Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS)
Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na...
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.
2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo tulililipia na kupewa risiti halali.
3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda kutwa nzima...
Wewe mwana JF mwenzangu utakuwa jaji kwenye hili, je, nani anadanganya?
"Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lasema lawatuhumu Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati, Godlisen Malisa kwa kusambaza taarifa za uongo"
====
Kuptea kwa Robert Mushi na Maelezo ya...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni, Mikese na Mkulazi lakini havina vyumba vya kuhifadhia maiti hivyo kusababisha maiti kwenda kuhifadhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.