mnafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Nisiwe mnafiki, napendezwa sana na Usayansi wa kiuongozi wa serikali hii

    Hii serikali kwa Sasa Ina uongozi flani wa kisayansi sana........kwa mwenye akili tu ndo atanielewa lakini kwa mimburura itaishia kutukana tu hapa kama kawaida yao. Nimependa approach zao... Narudia, hakuna serikali itafanya maendeleo makubwa kuizidi hii......hutaki nenda Kenya ukaungane na...
  2. Mbwana Ally Sammata, nimekudharau na sito kuheshimu, una roho mbaya na ni mnafiki we jamaaa, sijapata kuona

    Sina Imani jamaa kama ali kosa usingizi na kuwa na hofu kwa kilicho endelea baada ya internet kuzimwa, Sina Imani kama jamaa WALAU aliwaulizia washikaji wa kitaaa chake na wabongo waliopigana kumshangilia na kusapport kazi zake mpaka kufika hapo. Kuna wale watoto wa academy ya mpira waliopigwa...
  3. Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?

    Na Dr. Maureen Olesumba Laizer Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara 2021 Hawkins Circle LOS ANGELES, CA 90001-2257 USA Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa...
  4. GE2025 Mwenyekiti mstaafu wa CCM(Kikwete) leo ndio nimejua ni mnafiki wa kupindukia

    Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni...
  5. Ili uweze ku maintain circle ya marafiki zako, lazima uwe na mnafiki

    Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa. Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.
  6. R

    Luhaga Mpina ulikosea mahesabu, ilibidi uwe mnafiki, "upige kimya", upite then useme ukweli! ACT ulikokwenda , Tume itakutangaza?

    Ulijua kuwa menykiti wako ni dikitaita, hataki uweli. Ilibidi uwe mnafiki upite, then uushabulie injustices ulizokuwa unaziona. Huko ACT ulikokwenda, unaweza kushinda, wananchi wanakuhitaji, je watakutangaza?
  7. L

    Polepole apuuzwa na Watanzania na kuonekana ni mnafiki na mbaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi...
  8. Kuna Mtu Mnafiki kaandaliwa Dongo hilo na atajuta Kumchokoza mwenye Kisu chake Kikali na Kisiwa chake cha Kihistoria Tanzania

    Ajiandae Kisaikolojia kwani huyo Mtu kwa Madongo na Maneno ya Kuudhi kama siyo ya Kukera ya Kipwani Pwani hata Hawara yake Mkuu wa Bagamoyo anasubiri.
  9. L

    Polepole ni mnafiki kama wanafiki wengine

    Siandiki mengi. Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa. Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru. Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU. Baadhi ya...
  10. Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

    wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz. Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane...
  11. Unachukizwa na yanayoendelea nchini ila unahalalisha kinachoendelea Gaza, we ni mnafiki.

    Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga. Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu...
  12. Mwanasiasa Mdomo Tupu ni Sawa na Mchawi Mnafiki!

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, mchawi huogopwa kwa sababu ya hulka yake ya unafiki, mwenye uso wa tabasamu mchana, lakini usiku huwaza maangamizi kwa wengine. Ni mtu anayeishi kwa kutegemea uongo, siri, na usaliti ili kufanikisha malengo yake binafsi. Hali hii inazidi kuakisiwa kwenye taswira...
  13. Yeyote Anayetaja Amani Bila Kutaja HAKI, Ni Mnafiki, Tumzomee.

    Kuitafuta haki kwa anayeonewa na kunyimwa haki yake, ni tendo halali na takatifu, na ni wajibu wa msingi. Siku hizi wadhulumaji wa haki za wananchi , ili waendelee kudhulumu haki za wananchi, wanajificha nyuma ya neno amani, lakini hawathubutu kutaja HAKI. Amani ni zao la HAKI, huwezi kuitaja...
  14. S

    Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  15. Kufanya kazi kwa wahindi bila kujipendekeza na kuwa mnafiki inawezekana kweli?

    Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi msimamizi au boss akupende au akupatie fursa yoyote, inatakiwa ujipendekeze au uwe mnafiki kwa wafanyakazi...
  16. Mwigulu Nchemba: Mzee Ngure alikuwa Mcha Mungu na mpenda elimu

    Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati wa Ibada rasmi ya kuaga Mwili wa mzee Wilfred Ngure ambaye alifariki Dunia Machi 22, 2025 Nchini...
  17. Ni kawaida Matola kuwakazia Simba SC akiwa na Timu nyingine, ila siyo kwa Mnafiki na Mnazi Kally kuwakazia waliotupwa CAFCL

    Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
  18. Kwahiyo Kocha Mnafiki Ibenge baada ya jana kufika Bei na kuwaachia 'Calculator FC' ndiyo kaamua Kuidhalilisha hivi Simba SC?

    Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na kwamba Yanga SC huwa hawana huo Utaratibu. Huu ni Udhalilishaji mkubwa na kutaka tu kuichafua Klabu...
  19. Sugu yupo Chadema kisanii na ni msanii, kifupi Sugu ni mnafiki

    Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa. Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba huyo maisha yake yote si ya uhalisia hata kidogo pale Chadema. Muda wote yeye ni mnafiki na mfitini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…