mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 🐖 Nguruwe mmoja anaweza kuuzwa hadi Tsh 1,000,000?👉 Unakubali au Unakataa?

    Hiki ni kipande kidogo (teaser) cha Episode ya Kwanza ya podcast yetu mpya SHAMBA TALKS 🎙️. Baada ya kusikiliza madai kutoka kwa wafugaji, sasa tunaingia upande wa kitaalamu— ✔️ Je, kibiashara inawezekana kweli? ✔️ Ni aina gani ya nguruwe? ✔️ Ni ufugaji wa namna gani unaofikisha thamani hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot For Sale at Mnazi Mmoja

    Plot For Sale at Mnazi Mmoja. - It's 2nd plot on the corner from Bibi Titi road. Location: Aggrey/Jamhuri st. Plot size: SQFT 3010 (SQM 279.64) Price: TZS 2.5B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa alisemaga humu eti ukifuha ng'ombe mmoja wa maziwa mwajiriwa wa serikali hakufikii😂 ila JF bana isifutwe aisee

    Hii ndio zile ahadi za kiujamaa tukaishia kula vumbi hadi leo
  4. JamiiForums Tanzania Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ng'ombe mmoja anatoa sio chini ya lita 25 za maziwa, ninao zaidi ya 10 wateja hadi tunawakataa

    📌 KUMBUKIZI LA UHALISIA “Ng’ombe mmoja akiwa amezaa, huwezi kukosa lita 25 za maziwa kwa siku ukiwa na ng’ombe bora na lishe sahihi. Mimi nina zaidi ya ng’ombe 10, na soko la maziwa ni kubwa sana. Tunauza katika maeneo mbalimbali ikiwemo mashuleni kutokana na ubora wa maziwa tunayozalisha.” —...
  6. JamiiForums Tanzania Ukifuga hata ng'ombe mmoja tu wa maziwa, mwajiriwa hakufikii

    KUMBUKIZI 📌 Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza. Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika. Kupitia kujifunza, kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika

    Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika. Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi soon tutawafurusha wauwaji.
  9. JamiiForums Tanzania Trump ni babu mmoja mtu wa mishono, hii Putin ilimfanya kuwa kimya

    Mwaka 2025 Putin alifika USA ila baada ya kupewa heshima za kijeshi na kuongozana naye mara Putin anaona dege la B-2 likipitishwa makusudi na Trump alikuwa anamkumbusha kule Iran. 😁" Who are you " Hata Masafa ya TBC fm uwezi kutumia.
  10. JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  11. JamiiForums Tanzania Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi

    Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi — si kwa bahati, wala miujiza, bali kwa maarifa sahihi, mipango thabiti, na ufugaji wa kibiashara unaoeleweka. Changamoto kubwa kwa wafugaji wengi ni 1.kukosa ng’ombe bora, 2. kukosa mfumo sahihi wa kufuga kwa faida. 3...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anaweza kuruhusu inchi izidi kuingia shimoni?

    Kwa kweli ukiachana sijui TEC kule Mashekhe huku wasiojulikana yaani msababishi wa yote ni Samia,hakuna kuzungukana zitaundwa tume mpaka za maraika hakuna kitakachoturiza nyoyo za watanzania Bila huyu mama kuondoka kwa hiari yake au hiari ya mwenyezi Mung Tanzania itaendelea kutumbukia shimoni...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  14. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla ya Oktoba 29 watu walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, lakini ombi lao lilikataliwa

    Luka 13:32 Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’ Kabla ya uchaguzi, Wati walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, Tupishe njia za haki zisimame vyema, Ombi hilo likakataliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna ka ukweli fulani: Wazazi wenza hata kama mmoja kafa bado mzazi mwenzake

    Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa
  17. JamiiForums Tanzania Mmoja wa waliokamatwa oct 29, ameachiwa huru leo! Ashukuru Uongozi wa magereza

    https://x.com/KenyanSays/status/2004154158681936044?s=20
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

    AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…