mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Inadaiwa, Mbunge wa Busega Bwana Simoni Songe amewahonga wajumbe 800 kila mmoja elfu thelathini kama ushawishi wa kuja kuchaguliwa

    Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25 kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
  2. Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

    "Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa...
  3. Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!. Nashukuru sana kwa...
  4. M

    Fangasi za Ajabu zinawawatesa wanajeshi Israel, wafariki. Laana za Allah zawaandama

    Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi. === Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na...
  5. B

    Dini ya Kwanza Duniani Zoroastrianism na Mazda ambaye ni Mungu Mmoja wa Wote

    https://m.youtube.com/watch?v=CkV0dGk6XxA Zoroastrianism ni dini ya kale ya Kiajemi ambayo inaweza kuwa ilianza mapema kama miaka 4,000 iliyopita. Bila shaka imani ya kwanza ya Mungu mmoja ulimwenguni, ni moja ya dini kongwe ambazo bado zipo. Zoroastrianism ilikuwa dini ya serikali ya nasaba...
  6. City au Girona Mmoja kukosa Uefa

    Kutokana na Sheria kutoruhusu vilabu viwili tofauti vyenye mmiliki mmoja kushiriki michuano hiyo. Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ? Angalizo : Vipi kuhusu RB SALZBURG na RB LEIPZIG Hawa hawatufichi Jambo kweli ? #Scores90
  7. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  8. Kuwa na mpenzi mmoja ni maamuzi na sio upendo

    Habari zenu Wakuu, Ukiona mtu ametulia kwenye mahusiano na hana michepuko wala kutoka nje basi tambua kuwa amefanya maamuzi na sio upendo. Kama ulikuwa hujui ni kwamba, unaweza kupenda na bado ukapenda kuwa na wengine zaidi (TAMAA). Ukiona mtu ametulia basi tambua kuwa amefanya maamuzi na...
  9. Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  10. Kwanini stand ya Mnazi Mmoja haina sehemu ya abiria kupumzika wakisubiria usafiri?

    Naziuliza mamlaka za jiji la Dar es Salaam. Inakuwaje pale stand ya Mnazi Mmoja hapajajengwa vibanda kwa ajili ya kujikinga na mvua au jua. Naongelea hasa huku kwenye daladala za Kinyerezi, Segerea. Mburahati na vibajaji vinavyo enda city centre. Vibanda hivi Husaidia pia mtu kupumzila pale...
  11. S

    Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.? Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais? Ni kazi gani hiyo? Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
  12. Mrejesho: Baada ya kusex na muathrika wa HIV, haya ndiyo majibu baada ya mwezi mmoja

    Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika. https://www.jamiiforums.com/threads/nimeyatimba-nimesex-na-mtu-mwenye-hiv-ni-kipindi-kigumu-sana-maishani-mwangu.2156809/ Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu...
  13. Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

    Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu. Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
  14. Bibi Titi na Historia ya Mnazi Mmoja 1950s

    BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union. Walikusanyika hapo wakitokea kwenye ofisi ya chama chao iliyokuwa katikati ya uwanja wa wazi nyuma ya...
  15. Nunua pakti moja ya vikombe 50 kwa Tsh. 8000/=

    0787 345 816 nipigie. Kwa 8,000/= tu unapata pakti ya vikombe 50. Nipigie kwa idadi yoyote ntakuletea, Dar ama mkoa wowote.
  16. R

    Trafiki watatu wakamatwa wakipokea rushwa, mmoja atoroka

    Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
  17. Hivi kuna anayejadili hatima ya Mtanzania anayeshikiliwa na HAMAS baada ya mmoja kuuawa?

    Baada ya kuchinjwa kwa huyu dogo hapa chini, je aliyebaki kama mateka wa HAMAS, kuna yeyote anafanya jitihada za kuwabembeleza HAMAS wamuachie? Maana mpaka sasa tunaona wanaachiwa wa Israel, Wamarekani, wa-Thai na mataifa mengine, vipi hatima ya mwana EAC mwenzetu. Wafia dini kwenye hili...
  18. Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
  19. Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

    Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua. Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha...
  20. M

    Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja

    Nov 26, 2023 02:26 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza. Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…