mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

    Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa. Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaoa Malaya halafu mnatarajia amani katika ndoa . No. No., Nyumba ambayo ina mwanamke Malaya hakuna kupoa mpaka mmoja atangulie

    Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa. Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi. Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu kaja bar kufanya umalaya ila kwasasa ya akili yako finyu ukamwona anakunywa juice ukasema huyu ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

    Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela. Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC. Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wachawi Wana Roho mbaya, jamaa alirogwa mguu mmoja unapiga mateke wenyewe unlimited, day and night!

    Hellow! Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza, Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk nk, Ndugu ZANGU ni akina nani? Aliuliza swali hili Yesu, na akajibu, ndugu ZANGU ni Hawa wasikiao na...
  5. JamiiForums Tanzania Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

    Ina urefu wa Kilomita 12 Ina kituo kimoja cha polisi Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano Ina bank moja tu Ina hotel moja tu Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote Airport yake hutumika kwa football pia Karibu Tuvalu
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

    Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa. Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Tofauti na uzinzi na kujimwambafai, hakuna motivation yenye mashiko ya kuongeza mke zaidi ya mmoja

    Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi. Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume. Polygamy ni mwendelezo wa old fashioned masculinity ya enzi na enzi, kwamba kidume naweza, kidume mimi ni mashine...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya mafanikio juu ya mtoto alielelewa na mzazi mmoja?

    Habari wana JF, Naomba nijikite katika hili hivi" kuna siri ipi ya mafanikio juu ya kijana alielelewa na mzazi mmoja hasa mama"? Nimeona watu mashughuli wengi , wana siasa, wafanya biashara wakubwa, wana muziki kama vile Diamond na wengine wengi wamepata mafanikio lakini wakitoa historia yao...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

    Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja gharama ya fungate inakaribia TZS 300m. Pole Chibu
  10. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee mmoja alikuwa haudhurii misiba leo kafariki, kinachoendelea hapa naona ni msiba wa familia tu

    Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali. Sasa ya Mungu mengi bwana leo...
  12. JamiiForums Tanzania Battle la Compact SUV: Mazda CX-3 vs Honda Vezel. CIF karibia zipo sawa, ila Ushuru wa TRA mmoja amedabo!

    Kwa wapenzi wa compact SUV kuna haya magari mawili, Mazda CX-3 na Honda Vezel. Ingawa ni taste mbili tofauti, lakini yanaweza kufananishwa ata kwa udogo. Mazda CX-3 yeye ana sifa zifuatazo: Engine: 1.5L SkyActiv-D diesel engine, inatoa power ya 105 hp Transmission: 6-speed manual au...
  13. JamiiForums Tanzania ALIYEUNGWA NA KAHABA AMEKUWA MWILI MMOJA NAYE:

    MAKALA HII imeandaliwa na CREEZLE FAREY WhatsApp ME +255789407381 KAHABA : Kahaba ni neno linalotumika kumaanisha mtu anayejiuza kwa ajili ya ngono. Katika muktadha wa jamii, kahaba mara nyingi anachukuliwa kama mtu anayefanya kazi hii kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na umaskini...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Imeandikwa waume wapendeni wake zenu kama nafsi zenu wenyewe kwa maana sasa mmekuwa mwili mmoja

    Waefeso 5:28-33 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31...
  17. JamiiForums Tanzania Mke mmoja hatoshi

    Nimeikuta mahali hii, soma mpaka chini Kisha tafakari. Francis Chacha Wambura Kazi; Mkulima Umri: 98 Wake: 6 Watoto: 47 Wajukuu: 86 Sababu ya kifo: uzee Lazaro Olemgbe Kazi: Seremala Umri: 115 Wake: 11 Watoto: 56 Wajukuu: 132 Sababu ya kifo: Uzee. Mabura Mabondo Matinde Kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja aliyefungua mashata kampuni ya usafiri Lyft USA amejibiwa huduma yake

    Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake. Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi na wengine wakisema ni unyanyasaji. Baada ya kuzuka mijadala mingi kampuni lyft imeamua kuongeza...
  19. JamiiForums Tanzania Nawatia moyo JWTZ, kifo ni matokeo yasiyokwepeka kwenye kazi yao; wakiua mmoja, ongeza Battallion moja

    Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HII ITAPATA MBUNGE ANGALAU MMOJA?

    Tuangalie safu ya vyama vyote Mwenyekiti wa ccm- amiri jeshi mkuu, Rais wa Tanzania. Mwenyekiti wa chadema- alikuwa mbunge, mwanasheria wa kujitegemea Makamo mwenyekiti wa ccm- waziri wa miaka mingi, mbunge wa miakq mingi Makamo mwenyekiti chadema- mbunge wa miaka 10. Makamo mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…