Madam (), or madame ( or ), is a polite and formal form of address for women, often contracted to ma'am (pronounced in American English and in British English). The term derives from the French madame (French pronunciation: [maˈdam]); in French, ma dame literally means "my lady". In French, the abbreviation is "Mme" or "Mme" and the plural is mesdames (abbreviated "Mmes" or "Mmes").
Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba.
Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁
Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
Hadithi ya Barnaba Tillya aliyempoteza mke wake kipenzi,Irene Tillya wakati akijifungua katika Hospital ya Marangu juni 4 mwaka huu inaumiza sana.
Ndiyo ni hadithi inayoumiza unapoanza kuhadithiwa kuanzia mke wake anapoondoka nyumbani hadi anafika Hospital na madhila aliyoyapata kuanzia wodi ya...
Leo nataka niwasaidie wadada kwenye mahusiano.
Na ukinielewa leo hauwezi ukaingia kwenye hizi kesi ambazo zimetesa wanawake wengi, wadada wengi sana. Unaingia kwenye mahusiano na mwanaume anakupa mimba anakuacha. Nataka niwaambie wanaume wanaofanya hivi wanakosea sana na ni uovu mbele za Mungu...
Jana nilirudi mapema kutoka mishe mida ya saa 12 nikajimwagia maji nikaingia mtandaoni kuperuzi kidogo mpaka mida ya saa moja nikaenda kusali nikarudi nikakaa sebuleni kucheki move hapo imesha gonga saa 2 usiku.
Sasa kipindi naendelea kucheki move nikasikia kama zogo nyuma ya...
wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana,
MARA
MWANZA
RUKWA
KIGOMA
IRINGA
Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke
Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe
Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake
Mwanamke kunyoa...
Ulee mke
Ulee familia
Utunze akiba
Watoto wasome medium
Etc
Bado tena mchepuko unaubeba kama mayai. Yani unaweza kuta kiatu ulichomnunulia malaya ni mara tatu ya bei ulichomnunulia mama yako mara ya mwisho na anakishona kila siku.
Alafu mkija JF mnatafuta mganga mnahisi mmerogwa maana pesa...
Haya ni maneno ya mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu nilimwomba anipe papuchi wikendi hii lakini alikataa maana sehemu yake ya Siri siyo safi hajanyoa mamvuzi siku nyingi na mme wake hayupo takribani wiki mbili na anategemea kurudi wikendi hii.
Nilipomwambia ayanyoe alikataa na kudai mme wake...
Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile?
Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke wako ataweza kuimudu familia au itaangukia katika umaskini wakutupwa?
Kama jibu Ni hapana umejipanga...
Habari Wana Jf
Natumai mko salama
Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊
Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata
Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama...
Kuna baadhi ya wanandoa na wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi tena matusi mengine ni ya ajabu sana
Na wanawake wanapenda sana kutumia matusi kwa wenza wao Kama matani
Mifano ni mingi,mfano ikiwa mwanamke anataka kufahamu mumewe alipo atampigia simu au sms "Weee bwege uko wapi?
Wewe kenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.