mlipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

    Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo...
  2. Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

    Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu wengi. Ni wiki moja tangu wapiganaji wa Islamic State (IS) kumuua kiongozi wa kidini anayeunga...
  3. Tuzungumzie mlipuko wa kithembe unaoikumba nchi kwa sasa

    Nilikuwa namsikiliza Ahmed Ally wa Simba akihojiwa clouds FM. Jamaa ana kithembe kikali sana. Anasema Thimba live bila chenga. Hapo akaja mtu anatangaza Ndondo Cup. Anasema watacheza "Kinethi" na wanadhaminiwa na "Madhiwa ya athathi." Sijakaa sawa akatokea Mbwiga, anasema, "Au thio." Juzi...
  4. Urusi ilipoteza ndege tisa kwenye mlipuko Crimea

    Hadi aibu.... ====== Ukraine’s air force says nine Russian warplanes were destroyed by explosions that rocked an airbase in Russia-annexed Crimea on Tuesday. The blasts, which Russia says were caused by detonations of stored ammunition, killed one person and wounded 14 others, according to the...
  5. Watoto 7 wafariki kwa mlipuko Nchini Togo

    Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana. Katika taarifa, jeshi la Togo lilisema mlipuko ambao chanzo chake hakijajulikana ulisababisha vifo vya watoto...
  6. Mamlaka za Macau zaamrisha kasino kufungwa kwa wiki moja kuzuia mlipuko wa Covid-19

    Mamlaka za Jiji la Macau ambapo ni Kitovu cha Kamari Duniani, imeamuru biashara zisizo muhimu, zinazojumuisha zaidi ya kasino 30, kufungwa kwa wiki moja, ikiwa visa 1,536 vya COVID19 vimerekodiwa Jijini humo tokea Mwezi Juni Inaelezwa kuwa takribani watu 19,000 Jijini humo wamewekwa karantini...
  7. Korea Kaskazini yadai mlipuko ulisababishwa na 'vitu vya ajabu'

    Serikali imedai Mlipuko wa kwanza wa COVID-19 ulianza baada ya Wagonjwa kugusa "Vitu vya ajabu" (Alien Things). Imeripotiwa kuwa, Uchunguzi uliwabaini watu wawili waliopata maambukizi mwanzoni mwa mlipuko huo baada ya kushika vifaa visivyojulikana karibu na mpaka wa Korea Kusini. Japokuwa...
  8. Maofisa wa Afya waonya mlipuko wa Kipindupindu Ukraine

    Wanasayansi wanasema mvua katika Mji wa Mariupol inaweza kusababisha mlipuko wa kipindupindu kutokana na Mifumo ya maji kuharibiwa kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi Meya wa Mji huo, Vadym Boichenko amesema mbali na Mifumo ya Maji kuharibiwa, maji katika baadhi ya...
  9. L

    Acheni kutumia picha za watu weusi kuripoti mlipuko wa monkeypox!

    Hivi karibuni, ugonjwa wa monkeypox umeendelea kuenea katika nchi za magharibi. Tangu tarehe 13, nchi 23 zikiwemo Marekani na Uingereza zimeripoti maambukizi zaidi ya 250 yaliyothibitishwa na zaidi ya maambukizi 100 yanayoshukiwa kwa WHO. Hata hivyo, Reuters, BBC, ABC News na vyombo vingine vya...
  10. Nigeria: Mlipuko kwenye kiwanda haramu waua watu zaidi ya 100

    Vyombo vya Habari Nchini Nigeria vimeripoti kuwa zaidi ya watu 100 wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto kufuatia mlipuko katika Kiwanda kinachochakata Mafuta kinyume na Sheria Eneo la Kusini mwa Nigeria linaripotiwa kuwa na kiasi kikubwa cha Biashara haramu za Mafuta ikielezwa licha ya...
  11. Somalia: Watu 6 wauawa kwa mlipuko katika mgahawa Mogadishu

    Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022 “Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa. Aidha, mteja aliyekuwa eneo...
  12. Jamii imetakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko

    Jamii imetakiwa kujikinga magonjwa ya mlipuko ikiwepo kufuata miongozo na elimu inayotolewa kwa umma katika kuongeza uelewa na kujenga utayari wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa Aprili 15, 2022 na Mratibu wa Elimu kwa Umma na Ushirikishaji Jamii wakati wa dharura Dkt. Tumaini...
  13. DRC: Mlipuko waua watu 6, wajeruhi 15

    Watu 6 wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea kwenye baa eneo la Goma katika Mji wa Kivu Kaskazini, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kulingana na vyanzo vya serikali hiyo ilikuwa ni taarifa ya awali. Waathirika wawili katika tukio hilo maofisa wawili wa juu wa...
  14. Watu 60 wafariki katika mlipuko wa mgodi wa dhahabu Burkina Faso

    Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso. Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto Ilitokea wakati vilipuzi vilivyohifadhiwa karibu na eneo la kuchimba dhahabu...
  15. Ujerumani na Austria zalegeza kanuni za kudhibiti mlipuko wa Corona

    Kansela Olaf Scholz amesema Ujerumani italegeza Kanuni hizo kufuatia Wimbi la Maambukizi kutokana na Kirusi cha Omicron kuonekana kupita kilele chake Hata hivyo, ameonya Mlipuko bado haujaisha Kwa upande wa Austria, Kansela Karl Nehammer amesema Serikali yake italegeza asilimia kubwa za Kanuni...
  16. Dharau zilivyoiponza Uganda, Mlipuko wa Bomu Kampala

    Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa kilichotokea tukio la kujitoa mhanga katika maeneo mawili tofauti. Moja ya mlipuko huo ulitokea...
  17. Mlipuko wa COVID-19 unaweza kuongeza maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Afrika

    Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya Corona. UNAIDS imesema Huduma za Afya zimeathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga hilo, hali iliyolazimu...
  18. Ripoti: Wabunge wakosoa namna Serikali iliyoshughulikia janga la Corona mwanzoni mwa mlipuko

    Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea maambukizi na maelfu ya vifo. Vilevile Ripoti hiyo imesema kulikuwa na nia ndogo ya kujifunza kutoka kwa...
  19. Afghanistan: Shambulio baya lakumba msikiti wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa

    Mlipuaji wa kujitolea muhanga amelenga msikiti mmoja kaskazini mwa mji wa Afghanistan wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa na kuwaua takriban watu 50. Picha katika mitandao ya Kijamii zimeonesha miili na vifusi ndani ya msikiti , unaotumika sana na jamii ya walio wachache wa dhehebu la Shia...
  20. Wizara ya Afya yawatahadharisha Watanzania kuhusu ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo

    Watanzania wametakiwa kuchukua tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ulijitokeza katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC). Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Aifelo Sichwale amesema ugonjwa huo wa mlipuko husababishwa na bakteria wanaojulikana kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…