Kenya imethibitisha mgonjwa wa tatu wa Ebola aina ya Bundibugyo.
-
Mgonjwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 65, ambaye ni ndugu wa karibu wa wagonjwa wawili wa kwanza.
Alikuwa amewekwa karantini baada ya kugunduliwa kuwa miongoni mwa watu walikutana moja kwa moja na wagonjwa wawili wa awali...
Mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unazidi kuwa mbaya baada ya kufikia visa 5,515 na vifo 2,642, huku visa vipya 51 vikibainishwa Ituri na Kivu Kaskazini.
Janga hilo la 17 nchini humo ndilo baya zaidi katika historia ya DRC, na WHO limelitangaza kuwa dharura ya...
Mlipuko wa 17 wa virusi vya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umekuwa mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo baada ya idadi ya vifo kufikia watu 2,325 na kupita rekodi ya mwaka 2018-2020. Taasisi ya Kitaifa ya Afya ya Jamii nchini humo imeripoti kuwa jumla ya maambukizi...
Mlipuko wa hivi karibuni wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uko kwenye mkondo wa kupitisha mlipuko hatari zaidi wa ugonjwa huo kuwahi kutokea, alisema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
Mlipuko wa mwaka huu, uliotangazwa tarehe 15 Mei, umeonyesha angalau kisa 4,300...
Habari wakuu!!
Kila mtu mwenye mazoea ya kupata habari ni shahidi wa yale yanayoendelea Nchini Congo juu ya mlipuko wa ugonjwa hatari wa EBOLA.
Kwa ujirani na maungiliano ya kibiashara baina yetu na Congo bila hata Sisi tupo kwenye hatari kubwa kuingiliwa na ugonjwa ikiwa hatua za haraka...
Mamlaka nchini Uganda zimesema kuwa zaidi ya watu 100 wamewekwa 'quarantine' wakati maafisa wa afya wakipambana kudhibiti mripuko wa nadra wa ugonjwa wa Ebola, unaohusishwa na kirusi cha aina ya Bundibugyo.
Watu hao wanachunguzwa kwenye eneo ambalo halikutajwa, huku jopo la madaktari...
Wakuu,
Wizara ya Afya nchini Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.
Taarifa hiyo iliyotolewa leo Alhamisi, Januari 30, 2025 imeelezea kuwa tukio la kwanza ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.