Watu wote tusipenda uovu, tunaomkiri Mungu wa Kweli, tujitenge kabisa na uchaguzi huu uliojaa uovu, unaotumika kuwahalalisha waovu.
Hivi kuna mtu asiyejua ni nani anahusika na utekaji na mauji ya watu wanaokosoa maovu?
Kuna mtu asiyejua ni chama gani kinahusika na huu uovu wa kuteka, kuua...