mlimba

Mlimba is a town in central Tanzania on the plains.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Wananchi wa Mlimba – Morogoro tunaambiwa Nguzo moja ya Umeme ni Tsh. 580,000, hii ni haki?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=. Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
  2. Pax Vobiscum

    Tetesi: Uonevu wa wakulima wa cocoa halmashauri ya Mlimba

    Salaam wakuu, Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa, Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa? Kwanini waje na huo Mpango kwa wakulima wa kokoa tu? Kwanini wasifanye kwa wakulima wote wa mpunga, mawese, mahindi, matikiti...
  3. Just Pray

    GE2025 Rose Rwakatale achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba, Morogoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.Kellen-Rose Rwakatale amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba mkoani Morogoro. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Rwakatale amesema anayo dhamira ya dhati kulitumikia jimbo hilo la Mlimba kwani anazijua changamoto...
  4. Huihui2

    Heche muombe radhi Suzan Kiwanga Mbunge wa zamani wa Mlimba kupitia CHADEMA

    Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  6. mgen

    Tetesi: AJALI YA RELI YA TAZARA MLIMBA.

    Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku! Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar! Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi. Mwenye Taarifa Atufahamishe!
  7. Mkalukungone Mwamba

    Mbunge Kunambi: Baadhi ma RC na ma DC wanakamata wananchi bila sababu ya msingi

    Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amesema baadhi ya Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wamekuwa na vitendo vya kukamata Wananchi bila sababu ya msingi. Ameeleza jambo hilo limetokea katika jimbo lake la Mlimba ambapo Mkuu wa Wilaya wa Kilombero tarehe 26 Agosti, 2024 Kata ya Mbingu kijiji cha...
  8. M

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe...
  9. Roving Journalist

    Jenista Mhagama aongoza Kamati ya Kitaifa ya Maafa kutembelea maeneo yenye maafa ya mafuriko Mlimba, Kilombero Mkoani Morogoro

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MLIMBA MKOANI MOROGORO Mobhare Matinyi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mlimba, Morogoro, Alhamisi, Aprili 11, 2024: Saa 10:30 jioni. 1. Leo Alhamisi ya tarehe 11 Aprili, 2024, Kamati ya Kitaifa ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Mitambo Yote na Wataalamu Wawe Site Ndani ya Mwezi Mmoja - Mlimba

    BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
  11. V

    Mnaofahamu, hali ya biashara ipoje maeneo haya kwa anayetaka kufanya biashara ya ubebaji wa mizigo ya mazao?

    Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku! Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo juu na mengine yafananayo na hayo kwa kilimo cha mpunga hapa tz, napenda kufahamu kutoka kwa wadau...
  12. L

    Mngeta, Mlimba: Wananchi walioshindwa kununua mita za maji kutozwa 10,000 kwa mwezi kuanzia Julai, 2021

    Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki! Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
  13. Dr. Wansegamila

    Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  14. Analogia Malenga

    TARURA: Ni kweli Daraja la Mto Mngeta lilitumia Tsh. milion 31

    SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo. Mhandisi Robert Magogo ambaye...
  15. M

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  16. The Sheriff

    Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

    Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli. Akichangia hoja Bungeni, Kunambi amesema: Kazi kubwa ambayo mimi naomba nishauri Bunge letu tukufu ni... amefanya...
Back
Top Bottom