Seneta wa Nyandarua, John Methu, amewakosoa Rais William Ruto na Naibu Rais Kithure Kindiki, akidai kuwa uongozi wao umechangia kupatikana kwa pombe mbaya katika jamii za Mlima Kenya.
Katika hotuba yake, Methu alielekeza lawama kwa viongozi hao kuhusu aina ya pombe inayopatikana katika eneo...