Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
05 October 2026
Unguja, Zanzibar
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 .
The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar
Maelezo Muhimu...
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa mapema leo katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Baada ya kiapo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amemkabidhi rasmi vitendea kazi tayari kwa kuanza majukumu yake ya kuwatumikia...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
katika
kutumia
madini
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
shughuli
taratibu
uchimbaji
uchimbaji wa madini
umuhimu
ushirikiano
waziri
waziri mkuu
Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu.
Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema...
Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku akisisitiza umuhimu wa amani, upendo na mshikamano nchini.
Waziri Sangu ambaye alimwakilisha Waziri...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania.
Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuumkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
bank
crdb
gharama
heche
igp
jeshi
jeshi la polisi
jeshi la polisi tanzania
kufuru
kuhusu
mange
mange kimambi
meza
mkuumkuu wa
polisi
polisi tanzania
sawa
sio
statement
tanzania
vinywaji
wambura
Habari wandugu.
Harufu ya UFISADI.
Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika .
Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika
Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...