mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Mkuu wa mkoa wa Manyara ni Magoti aliyechangamka, kelele zote zile ila ndio mkoa ambao Waziri Mkuu amekuta madudu hatari

    Kuongoza mkoa Hasa UKIWA umetoka vyama vya upinzania usipotuliza komwe utapigwa sana za uso mwishowe utadodonkea pia pwaa! Kwini wa Manyara inawezekana akawa the valueless mkuu wa mikoa katika ya wakuu WA mikoa nchini Tanzania. Ni mkuu wa mkoa ambae alikuwa kila siku yupo mitandaoni na maneno...
  2. Roving Journalist

    Responded Maandamano ya Wananchi wa Buza - Dar es Salaam "Tumechoka tunamhitaji mkuu wa mkoa aje tunateseka"

    https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
  3. Richard

    Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
  4. Sifi Leo

    Makonda bhana! Kwa hiyo Gambo alikuwa CHADEMA wakati wewe ukiwa mkuu wa mkoa kutokea ACT?

    Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM? Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani? Umepewa bilioni mbili...
  5. M

    Mbunge wa Tabora anakagua Zahanati na kufokea watumishi kama nani? Mkuu wa mkoa na wa wilaya wapo wapi?

    Nimeshangaa kuona kwenye Tv Mbunge wa Tabora mjini akikagua Zahanati jimboni kwake. Amefoka kama mbwa kukuta uchafu na dawa zilizokwisha muda wake. Swali ni kuwa anakagua kama nani? Nini maana kuwa na mihimili mitatu? Kazi ya mkuu wa mkoa na wasaidizi wake ni nini?
  6. digba sowey

    RC Chalamila, jinai huwa haifi. Punguza dhihaka, Damu za ndugu zetu zi mikononi mwako. Leo au kesho lazima utajibia, Tanganyika mpya yaja

    Nimekuwa nikimfatilia huyu bwana Chalamila mwenye kichwa kinachofanana na senene wa Bukoba akijinadi hadharani na kutuaminisha kuwa ni mwema na hahusiki juu ya mauaji ya maelfu ya watanganyika ,la hasha. Chalamila Leo unajiona mwema ila tambua kizazi chako na familia yako lazima italipa damu za...
  7. DuaZaMama

    PostGE2025 Mkuu wa Mkoa wa DAR Albert Chalamila amefanya ziara kutathmini uharibifu wa mwendokasi Mbagala,aagiza mabasi yaanze kazi Novemba 20

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, amefanya ukaguzi maalum katika eneo la Mbagala ili kujionea uharibifu uliotokea kufuatia tukio la maandamano lililotokea tarehe 29 Oktoba. Ukaguzi huo umefanywa kwa lengo la kutathmini athari zilizopata miundombinu ya mradi wa mabasi ya...
  8. Just Pray

    Kilio kizito cha wananchi wa Njombe mbele ya Mkuu wa Mkoa wakiwaombea waliouawa kwa kupigwa risasi

    Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameshirikiana na wakazi wa njombe katika maombi ya pamoja kuwaombea waliofariki katika maandamano, huku akisisitiza wazazi kuwausia vijana sambamba na kuendelea kuliombea taifa libaki na Amani. Katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Makambako, Mtaka...
  9. Its Tesha

    Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  10. W

    Mkuu wa Mkoa Mwanza na timu ya wataalamu Wizara ya Maji kupita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa Maji

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza- Said Mtanda, Katibu Mkuu Wizara ya Maji- Mhandisi Mwajuma Waziri pamoja na timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji wakipita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa huduma ya majisafi baada ya kukamilika marekebisho ya mtambo wa kusukuma maji uliopata hitilafu, Mradi wa Maji...
  11. Waufukweni

    FFU wakabidhiwa Magari 8 na Mkuu wa Mkoa Mwanza kuimarisha Utendaji wa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3. Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
  12. Isenye

    Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  13. Brain Kingdom

    Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
  14. TRA Tanzania

    Simiyu: TRA yamtembelea mkuu wa mkoa wa Simiyu na kufanya mazungumzo

    Meneja Wa TRA Mkoa wa Simiyu Ndugu Joseph Mtandika Siku ya Ijumaa tarehe 01.08.2025 alimtembelea mkuu mpya wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anamringi Macha Kwa lengo la kujitambulisha na kumkaribisha. Pia Meneja alimkabidhi tuzo ambayo Mkoa umepewa na Kamishna Mkuu Ndg Yusuph Juma Mwenda kwa kuvuka...
  15. Yoda

    Mbunge, Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya Tanzania ni vigumu sana kuajirika akipoteza kazi

    Watu kama January Makamba, Mpina, Mrisho Gambo, Sabaya na Jerry Muro wasipoteuliwa ubunge au kazi za serikalini wanaweza kufanya kazi gani tena hapa Tanzania katika sekta binafsi? Ni wachache sana wanaweza kuambulia kazi za maana kama CEO wa sasa wa Simba, kama hujui biashara maisha lazima...
  16. R

    Serikali imeanza ujenzi wa ofisi mpya ya kisasa ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera

    , ambayo itagharimu shilingi bilioni 9 hadi kukamilika kwake. Katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi na usaini wa mkataba iliyofanyika jana, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, alieleza kuwa jengo hilo litakuwa la kisasa, imara na litaweza kudumu kwa zaidi ya miaka 100 bila...
  17. Lycaon pictus

    Nikiwa mkuu wa mkoa wa Tabora nitahakikisha mkoa unakuwa tajiri kwa kuzalisha pombe ya asali(Mead)

    Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha. Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya Ethiopia kwa uzalishaji wa asali. Mkoa wa Tabora ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao hilo nchini...
  18. Nipe Maji

    Mkandarasi ahidi kukamilisha kwa wakati ujenzi wa ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Kagera

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 9, ambapo awamu ya kwanza imepokea shilingi bilioni 4.6. Ujenzi huo...
  19. DuaZaMama

    GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  20. DuaZaMama

    GE2025 Rais Mwinyi afanya uteuzi wa RC na Ma-DC

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za uwakilishi na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo...
Back
Top Bottom