mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  2. JamiiForums Tanzania RAIS MPYA WA IPU APATIKANA: HONGERA TANZANIA KWA KUFANIKISHA MKUTANO HUU MKUBWA WA KIMATAIFA!

    Na. Mwl Udadis, Sekei-Arusha Uchaguzi wa Milton Dick kutoka Australia kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unahitimisha kipindi muhimu cha shughuli za kimataifa zilizowakutanisha wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka zaidi ya nchi 150. Ni muhimu kutambua kuwa wajumbe hawa si watu wa kawaida tu...
  3. JamiiForums Tanzania Responded Waratibu wa Mkutano wa LCOY watoa ufafanuzi kuhusu tuhuma na malalamiko dhidi yao

    Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika. Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026 Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nairobi (COP12) Washika Kasi Dar

    Waziri wa Nchi, Ofisi va Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifanya mahojiano maalum na TBC katika kipindi cha 'Jambo Tanzania kuhusu Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) unaoendelea Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mhe Nyansaho Aongoza Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji

    Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda Na GULATONE MASIGA Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Muyungi Azam TV: Mkutano wa Nairobi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10 wanachama wa Mkataba wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaongoza Mkutano wa 12 wa Mkataba wa Nairobi Kuhusu Uhifadhi wa Bahari

    Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa Bahari ya Hindi Magharibi. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 6, 2026, Waziri wa Nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC wamekuwa waongo?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  11. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Beijing 1998 umetuharibia wake zetu

    WanaJamvi muhali gani...! Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa wa akina mama huko CHINA BEIJING na kauli mbiu kuu ni "Haki sawa maisha ni 50/50 hahhahahha na...
  12. JamiiForums Tanzania IPU Arusha: Zaidi ya Mkutano wa Bunge

    #IPU Arusha si mkutano tu wa viongozi wa mabunge. Ni diplomasia. Ni fursa za kiuchumi. Ni utalii. Ni utamaduni. Na kwa Tanzania… Ni nafasi ya kuonesha dunia kile ambacho nchi hii inaweza kufanya. #IPU2026.
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU: Je Arusha itasema ukweli kuhusu demokrasia au itaimba Nyimbo za Kusifu?

    Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU Arusha: Je, Tanzania Inahubiri Utawala Bora Usio na Uhalisia?

    Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Tanzania inajikuta katika njiapanda nzito ya kisiasa. Kwa upande mmoja, nchi inajivunia fursa...
  15. JamiiForums Tanzania Deus Sangu ashiriki Mkutano wa Ahmadiyya, asema “Amani na uvumilivu ni msingi mkuu wa utekelezaji wa Dira ya 2050”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku akisisitiza umuhimu wa amani, upendo na mshikamano nchini. Waziri Sangu ambaye alimwakilisha Waziri...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Heche leo akiwa Shinyanga, asanteni sana wananchi

  17. L

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi Aendelea Kuikausha na Kuiteketeza CHADEMA Mitaani. Mkutano Wake Waondoka Na Mwandamizi Aliyekuwa Msaidizi Wa Alli Kibao

    Ndugu zangu Watanzania, Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani CHADEMA. Ambayo Wanachama wake wengi wamezinduka kutoka Usingizini na kuanza kuondoka na kukihama...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  19. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lema Na Waandishi wa Habari umezuiwa , Nani Kauzuia?

    Mjumbe wa Kamati Kuu Cdm Godbless Lema alitangaza leo atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Hotel X na Kuwaalika Waandishi lakini Leo Alfajiri Hoteli Maarufu anaoishi Godii yalionekana magari 4 yenye ulinzi mkali yenye Namba za usajili T.... ADD , Lingine ni Customerzed LC 200 ( Amo.. Vehcle...
  20. JamiiForums Tanzania Godless Lema aahirisha mkutano wake na waandishi wa habari

    Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha. Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu. Nimedumu katika mapambano haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…