mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanasiasa mkemeeni Karia wa TFF, amesababisha mpasuko mkubwa mno kwenye timu yetu ya taifa

    Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania. Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya huu mkubwa wa Waziri wa Madini Dotto Biteko unanipa sana Mashaka!

    Viongozi wa dini husema ukijua umefanya dhambi moja kubwa sana hapa duniani basi jitahidi utubu na usali mno kabla Mwenyezi Mungu hajakuita mazima.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mkubwa Mahakama Kuu ikafuta ushindi wa Ruto-, Angalia makosa ya Kimahesabu yaliyofanywa na IEBC katika Video hii

    Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
  4. JamiiForums Tanzania Dogodogo alivomuharibia baba mkubwa dakika za mwisho

    Nawasalimu nyote, Ni baba angu mkubwa kabisa, ni mstaafu mpya kutoka serikalini ana mwaka ivi na miezi kadhaa uraiani. Akiwa kazini alioa na kupata watoto wanne, mambo yalikuwa POA tu amani na furaha, watoto wamekuwa na washaolewa/kuoa Mwaka Jana mzee akamaliza mda wa utumishi wake na...
  5. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Alexander Dugin mshawishi mkubwa wa Putin auwawa

    Inavyoelekea walimlenga huyu jamaa ,maana ndiye anaaminika kumshawishi Putin kuivamia Ukraine, hijulikan ni kundi gan lihusika kwenye shambulio hilo. Alexander Dugin, a far-right Russian author and ideologue, in Moscow in 2016. His daughter has been killed in a car explosion, according to...
  7. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya kitambo inakubamba sana ukisikia?

    Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi: TID -zeze Profesa Jay ft Lady Jaydee - Hivi Kwanini Sugu ft Stara Thomas - Kiburi Nipe zako
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

    Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly. N. B: TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Cuba yapambana kuzima moto mkubwa katika hifadhi yake ya mafuta

    08 August 2022 Havana, Cuba Moto mkubwa, katika ghala ya kuhifadhia mafuta unaendelea kwa siku ya pili baada ya moja ya matenki ktk ghala hiyo ya mafuta kupingwa na radi. Ajali hiyo imetokea Matanzas magharibi ya nchi hiyo, na Vikosi vya kuzima moto vinaendekea kupambana na moto huo mkubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wazambia wanashangaza na utamaduni wao wa nidhamu ya mdogo kumpigia magoti mkubwa.

    Miaka kadhaa iliyopita kuna picha ili-trend sana mitandaoni ya Waziri mstaafu wa kilimo wa Zambia kuonekana amempigia magoti Rais mstaafu Edgar Lungu (nimeipost). Watu wengi sana walitoa maoni yao na wengine kufikia hatua ya kumlaani Rais Lungu kuwa ni dikteta anayedhalilisha watu wake. DC wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Kocha Pitso Mosimane haji Wananchi Day kwasababu ya Yanga SC, bali ni Uswahiba wake mkubwa na CEO Senzo Mbatha

    Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC inamleta Kocha Pitso Mosimane katika 'Wananchi Day' yenu. Ukweli ni kwamba CEO Wenu Jezi Mbovu na...
  12. JamiiForums Tanzania Sabaya afanyiwa upasuaji, kesi yaahirishwa

    Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27 mwaka huu. By Maryasumta...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 95, jeshi la PLA limekuwa mkombozi mkubwa duniani

    Kila ifikapo Agosti Mosi, China huwa inafanya sherehe kubwa ya kuadhimisha siku ya kuasisiwa kwa Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China (PLA), ambapo mwaka huu wa 2022 inatimia miaka 95. Katika miaka yote 95 tangu Jeshi la PLA lianzishwe na kuongozwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 "Nani kama MAMA" kauli yenye ushindi mkubwa mno kwa mama aliyelea peke yake wenye siri kubwa mno kwa kizazi kijacho

    Dhamira yenye Matunda ya kheri huifanya dira iwe na muelekeo wenye matokeo chanya, naweza nisieleweke vizuri lakini wote tunakubariana kwamba panapokosekana amani pana kilomita nyingi ili kuufikia Upendo, umbali Kati ya amani na Upendo kati ya baba na mama waliotengana huweza kuwafanya wamama...
  15. JamiiForums Tanzania Kim Jong-un makelele tu. Uwezo wa kijeshi wa jirani yake ni mkubwa mno

  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Pamoja na msistizo mkubwa katika masomo ya Sayansi na VETA, Wizara Ya Elimu msisahau Historia

    Na Malenja jr Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza hayo matakwa yao lakini nionapo hoja zao ni dhaifu katika kunikosoa huwa naendelea na yale...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

    Huu ndiyo ukweli Mchungu 1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake. 2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana. 3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi...
  18. JamiiForums Tanzania Airtel mtandao unasumbua tangu Julai 19, shida ni nini?

    Yaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
  19. JamiiForums Tanzania Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana

    Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

    Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…