mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naweza kutabiri kifo cha kisiasa cha Polepole, press ya leo ilisubiriwa kwa hamu lakini kaongea mambo ya kawaida sana, sasa ajindae kwa mwangwi mkubwa

    Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya. Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
  2. JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa kwenye serikali isiyo ya kidemokrasia

    Pesa zinakopwa asilimia 100% zikifika nchini unakuta asilimia 60% ni kwaajili ya magari ya kifahari na matumizi yao kisha hizi 40% ni za wananchi na miradi ya maendeleo. Licha ya asilimia hizi kubaki ndogo 40% zinapoingia mfano kwenye miradi nazo zinaibiwa alafu serikali wanabaki wanashangaa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu leo amejitetea kwa umahiri mkubwa sana kisheria, laiti Mahakama zingelikuwa huru, leo angelikuwa uraiani

    DPP V. Yahaya Upanga & Another, [1983] TLR 151 (HC), In Republic V. Twalib Umbwa [2005] TLR 420 (HC). In DPP V. Yahaya Upanga the Court said: “If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment, whether or not the case was ready for hearing on the day on which the...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu anajiita 45 ukifatilia kwa makini hata 45 yenyewe hajui ni nini

    Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba. Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
  5. JamiiForums Tanzania CCM Kuna mpasuko mkubwa sana ndani, sasa mpasuko umeanza kionekana kwa nje

    CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM. Tumeona...
  6. JamiiForums Tanzania Je yaliyotekea awamu ya tano na awamu ya sita ya yapi hasa yamebadilika kuna uwezekano mkubwa Mzee kijana kaambiwa inatosha sasa kama super black.!

    Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana. Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
  7. JamiiForums Tanzania KUJITAWALA: Hatua 21 za Kuwa Mwanasiasa Mkubwa kwa Karne ya 21

    KUJITAWALA: Hatua 21 za Kuwa Mwanasiasa Mkubwa kwa Karne ya 21 Mtunzi; Robert Heriel +255693322300 Hatua ya 4: FANYA MAZOEZI YA UJASIRI WA KUJIELEZA. 4.1 Sauti Yako Ni Sauti Ya Taifa Kama huwezi kusema unachofikiri kwa ujasiri na kwa heshima, basi huwezi kuongoza taifa. Sauti ya kiongozi ni...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mapema hata kabla majina matatu hayajarudi wanaCCM wameonyesha mpasuko mkubwa

    Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani. Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura. Jina langu lisiporudi mimi ninazila. Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nitailinda Kura yangu kwa wivu mkubwa, nitahakikisha haiibiwi kwa kwa sababu sitopiga kura!

    CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi, upatikanaji wa tume huru ukiwa chini ya sheria zisizoegemea upande wowote, ili mimi mpiga kura, ninapohitaji...
  10. JamiiForums Tanzania Utata mkubwa wazunguka KIFO Cha Mtoto wa JB MPIANA Oceane aliefariki kwa ajali

    Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha Binti yake Océane kutokana na ajali ya gari. Océane alikua na mazoea yakwenda mara kwa mara...
  11. JamiiForums Tanzania Msiba mkubwa kwa wafanyabiashara walio wengi

    Katika biashara, si kila anayepita anaweza kuwa mteja wako. Kama hujawahi kukaa chini na kufahamu ni nani hasa anayehitaji bidhaa au huduma yako unaendesha biashara kwa kubahatisha. Na bahati mbaya haijawahi kuwa mkakati wa mafanikio. 1. Fahamu Mahitaji ya Wateja Wako Kabla hujatangaza au kuuza...
  12. JamiiForums Tanzania Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  14. JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

    Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
  16. JamiiForums Tanzania Usiku ule ulikuwa mkubwa na mzito sana kwetu.Tukio lililoacha kumbukumbu nzito maisha mwangu

    Mapendo Daima. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa na umri wa miaka 10 Famili yetu ilipatwa na tukio kubwa lenye kuacha historia kubwa sana. Tukio la kinyama ambalo daima tulikuwa tuna sikia tu kwa wengine. Majira ya saa12 jioni jua likielekea kuzama nikiwa mimi na wadogo zangu wa3 tukirudisha...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza Friji, Mtungi wa gesi mkubwa na Jiko.

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni sana.
  18. JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    Anawasifia mchana usiku anataka maini Yao Ila Israel mtoa roho! Naandika mimi sasa ✍🏻✍🏻✍🏻 Yeye Yule ambaye alitukanwa sana kwenye korido za Nyumba nyeupe mithiri ya Meli, pale kwenye Shombo, sasa akawa mwenyewe. Anafanya kulipiza kisasi kuanzia ameshika hatamu akamuwajibisha aliyeonya SIGARA...
  19. JamiiForums Tanzania Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

    Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS. Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP? Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ? Wanasheria nielewesheni!!
  20. JamiiForums Tanzania Mtu anayesema tusirudie kuchagua wabunge vilaza tena je huyu mtu anayeongea hivi na yeye ni kilaza mkubwa ambaye kaamua kujitoa ufahamu.

    Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020. Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?. Kwa kutumia Dola.?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…