mkristo

Mkristo Eugene Bruce (born October 16, 1984) is a pilot, and a former American football defensive end. He was signed by the Miami Dolphins as an undrafted free agent in 2007. He played college football at Washington State.
Bruce has also been a member of the Oakland Raiders, Arizona Rattlers, Jacksonville Jaguars, and Florida Tuskers.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Mufti Mkuu Abubakar: Mkristo hawezi mfanyia fujo Muislam

    Shekhe Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally, amesema kuwa hakuna ukweli katika taarifa zinazosambazwa kwenye Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii zinazoashiria kuwa Wakristo wanawatukana au kuwafanyia fujo Waislam. Mufti Zuber ameeleza hayo leo wakati akizungumza kwenye...
  2. Pdidy

    Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

    5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power. 1. Unforgiveness If you are still holding...
  3. Meneja CoLtd

    Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    ‎Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
  4. Beira Boy

    Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa...
  5. Waufukweni

    Sheikh Khalfani: Ukiletewa chakula na Mkristo siku ya Christmas ni halali kukila, wala usiache hakuna kasoro yoyote

    Maneno ya Sheikh Uwesu Khalfani, Mwenyekiti wa BAKWATA Mkoa wa Kigoma, na pia mjumbe wa Kamati ya Mwezi ya Kanda ya Magharibi.
  6. H

    Ewe Mkristo Wakati Unasherehekea Christmas Ukiwa Katika Wakati wa Maonevu Mengi ya Watawala, Mungu Anakuasa Usishirikiane na Watawala Dhulumati

    Wakati Wakristo wanaitwa kuheshimu mamlaka kwa sababu mamlaka zinatoka kwa Mungu, tamko hilo halihusu kwa watawala wote, bali watawala wale wasiotenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Yaani watawala wale ambao ma.laka yao yametoka kwa Mungu. Lakini ufahamu kuwa shetani naye anajitahidi wakati wote...
  7. Bullshit

    N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.
  8. Chizi Maarifa

    Ubayd Allah aliacha Uislamu na kuwa Mkristo. Alipokufa tu Muhamad akaenda mwoa mke wa Marehem

    Ubayd Allāh ibn Jahsh (عبيد الله بن جحش), ambaye alikuwa binamu wa Mtume Muhammad ﷺ. Nitasimulia kwa ufupi historia yake halisi kama inavyopatikana katika vyanzo vya mapema vya Kiislamu Jina kamili: ʿUbayd Allāh ibn Jahsh ibn Riʾāb al-Asadī Alikuwa ndugu yake Zaynab bint Jahsh, ambaye baadaye...
  9. The Burning Spear

    Nawapongeza Wakristo kwa kukemea Utekaji, Kwa kiasi Fulani Sasa Pametulia

    GT Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi. Sijajua wenzetu waislamu...
  10. matunduizi

    Kwa MKRISTO: Umasikini wa kipato/Fedha/Mali ni matokeo ya Shambulizi la KIROHO

    Kuishiwa na KUWA ombaomba sio mpango wa Mungu KWA MKRISTO. Kwa hiyo huwezi kujisifia kuishiwa, mbango wa Mungu ni watu wasiwe tegemezi kiuchumi KWA wateja wao ( wasiomuamini Mungu). Msisitizo uliotolewa. 1: Umasikini ni laana ( Torati 28). Yesu ametukomboa na laana ya TORATI. 2: Mcha Mungu...
  11. Hyrax

    Mimi nimeoa but nina michepuko miwili tu, naombeni mawazo yenu

    Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie mawazo kidogo mimi nimeoa mke mmoja na nina watoto wawili tu but katika pilika pilika za maisha nimejikuta nina michepuko miwili ambayo kiukweli naipenda sana kwanza michepuko yote tumepishana kiumri kama miaka 6 mpaka 10 hivi jambo ambalo kwa mke wangu...
  12. M

    Kama kiongozi mkristo akiwa mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi, akitubu dhambi zake anasamehewa basi tuna safari ndefu sana

    Nashindwa kuelewa labda mnielimishe, kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa. Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini. Je, toba hata kama ni ya kweli iliyotoka moyoni inatosha kufuta madhara ya dhambi...
  13. M

    Hivi kuna Mzaramo , Mkwere au Mndengereko ambaye ni Mkristo

    Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam. Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
  14. matunduizi

    Kwa nini MKRISTO ambaye HAOIOMBEI SERIKALI iliyoko madarakani anafanya DHAMBI mbaya sana?

    Sio Mimi ni Bibilia. 1 Timotheo 2:1-2 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Amani haiji KWA kuwaombea watawala...
  15. M

    Sijawahi kuona Mmasai wala Mjaluo Muislamu na Sijawahi kuona Mpemba wala Mzaramo Mkristo, huyu Mungu na Allah mbona anabagua Makabila na jamii?

    Habari wadau. ni mimi peke.yangu ama na wengine. Sijawai kuona maishani Shehe Chacha ama Ukhty Boke , je wewe umewai muona muislam Mkurya ? Binafsi najiuliza kwa nini Mungu anaezimiliki hizi dini mbona anabagua waumini wake.. Wengine hawaielewi dini yake, je wataenda motoni?
  16. matunduizi

    Mkristo anayejitambua anajua yeye ni Mwanadiplomasia wa Serikali ya Mungu. Haripoti chochote kwa mtu kabla ya kuongea na Serikali yake.

    Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  17. excel

    Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
  18. Kusini pride

    Nasikia wakristo wakishika miti ya minazi mnazi unakufa na mkristo akipanda mnazi unakufa

    Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti wa mnazi wakuu je ni kweli wakuu?
  19. GENTAMYCINE

    Wakristo wenzangu naomba leo tulijadili hili kwani Mimi kama Mkristo siliafiki na sitoliafiki milele japo naona halijadiliwi na wala hatuelimishwi pia

    Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba Mwanamke yoyote akiwa Hedhini pale huwa anatoa Uchafu na anakuwa Mchafu vile vile (hili wala halina Ubishi labda tu uwe Mpumbavu wa kutolielewa) sasa ni kwanini au inakuwaje Wanawake wote wa Kikristo wakiwa Hedhini huenda Ibadani Makanisani tofauti na Wenzetu...
  20. The Father of All

    Kwa anavyo pendwa' na kila mtanzania, Rais Samia angekuwa mkristo hali ingekuwaje?

    Huwa nachukia udini japo siwezi kujitenga na uwepo wa ushabiki wa kidini nchini na humu JF. Tangu apate madaraka kwa mkono wa Mungu, rais Samia anaonekana kuwaridhisha mashehe hadi wengine kama shehe mmoja kusema kuwa ni mtu bora baada ya Yesu na Muhamad. Akiwa mwanamke, ambaye kisheria hapaswi...
Back
Top Bottom