mkopo

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yachelewesha marejesho ya Mkopo wa SGR, yapigwa faini na China, Tsh. Bilioni 34

    Wakenya watalazimika kulipa zaidi ya KSh 1.7 Bilioni kama faini kwa kuchelewesha kulipa mkopo wa reli ya SGR kutoka kwa Benki ya Exim ya China katika mwaka wa fedha wa 2023/24. Hii ni kutokana na mkopo wa KSh 167.5 Bilioni ambao Shirika la Kenya Railways limeshindwa kulipa, ukichukua asilimia...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

    Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Pesa ya mkopo ikitumika kupanua wigo wa biashara kuna uwezekano mkubwa utafanikiwa zaidi, Ukiitumia kuanza biashara mpya tegemea zaidi kufeli

    Mikopo husaidia zaidi kwenye Expansion, sio kuanza from zero Kama ni kuanza biashara mpya Inapendeza zaidi kuanza biashara kwa mtaji wako au sehemu ndogo sana ya mkopo ili upate uzoefu, uzijue changamoto na faida za biashara, baada ya hapo kopa zaidi au tuma pesa zako kuwekeza zaidi
  4. JamiiForums Tanzania Sijapata mkopo kwa ajili ya diploma katika kozi ya Clinical Dentistry

    Wakuu habari za saa, Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry . Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma. Lakini tangu nilipofanya application mwezi wa nane mwaka huu hadi Leo hii batch zote zilizotangazwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba kama hujajiandikisha kuchagua hutopata mkopo benki na kudhamini watu?

    Za asubuhi? Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu. Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya katika daftari la uandikishaji wananzengo waligoma.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Allocation za mkopo

    Wadau nisaidieni maana ya hii statement kwa akaunti angu ya mkopo "no approved allocation breakdown available", je ni salama au ndo maumivu teari
  7. O

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata mkopo NMB, nina changamoto?

    Habarii ndugu zangu Wanajf, Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua. Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata. Ahsanteni Sana;
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo elimu ya juu mwaka ujao nilipe tena?

    Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza. Tarehe 4/09 nililipa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kupewa Mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 720 kutoka IMF

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani shilingi bilioni 720 kupitia utekelezaji wa program ya mikopo nafuu ya IMF ya Extended Credit Facility...
  11. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa milioni 2 kama kianzio naweza kupata bajaji ya mkopo

    Habari? Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi? Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu. Au kama kuna mtu ana wazo zuri wakuu anisaidie. Natanguliza Shukurani.
  13. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo wa bajaji kwa marejesho nafuu kwa siku

    Kuna taasisi nimewapigia wakanipa utaratibu wao kianzio ni milioni moja na marejesho kwa wiki ni 177,800 kwa miezi 24 haya marejesho ni gharama mno
  14. JamiiForums Tanzania Kwa aliyeelewa kipengele namba 5 kinachodokeza kuhusu kumaliza form 4 miaka 5 nyuma na form 6 miaka 5 nyuma, naomba anipe mwongozo

  15. JamiiForums Tanzania Simu za mkopo pasua Kichwa

    Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
  16. JamiiForums Tanzania CRDB wanazingua mno, inakuwaje wanachelewesha kumpatia mtu mkopo licha ya kukamilisha kila kitu.

    Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu. Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei, Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nilijenga kwenye kiwanja cha mama mkwe,akachukua mkopo wakataka mie ndiye nilipe

    Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie! Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini. Kwa kweli, niliona kama ni mbali, lakini akaniambia kuwa kuna kiwanja mama yake alimpa kama zawadi...
  18. JamiiForums Tanzania NMB, hesabu zenu za mkopo sijazielewa

    Mwezi uliopita nilipata shida ya pesa nikaona kuliko kwenda kwa kausha damu bora niende NMB nikafanye top-up sababu nilikuwa tayari namkopo, lakini baada ya kuchungulia account yangu wananiambia bado inasoma negative siwezi kupata chochote! Tangu nichukue mkopo ni mwaka mmoja sasa, lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  20. JamiiForums Tanzania Kukwama kwa maombi ya mkopo wa elimu ya juu

    Wandugu habarini, Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A Sasa changamoto iko kwenye kuomba tena mkopo Aliambiwa alipe 25% ya deni lake la nyuma na ameshalilipa Changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…