Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe.
Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia, kwani viongozi wa sasa wameugeuza kuwa fursa ya kujinufaisha wao na familia zao, huku mwananchi wa...