Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Mara Agosti 15, 2025, ukitokea mkoani Simiyu, ambapo utazunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa huo na kukagua, kuweka mawe ya msingi, kufungua na kuzindua miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 26.54
Akizungumza na...