mkoa wa mara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ashiriki ziara ya kamati ya bunge TAFICO

    MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
  2. H

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  3. H

    Ramadhan Kareem, Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema

    Ramadhan Kareem Mhe. Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema wa Ramadhan.
  4. H

    Je, Serikali ina mpango gani wa haraka kuwatengea wananchi maeneo ya kulishia wanyama haswa wananchi wa mkoa wa Mara ?

    Je, Serikali ina mpango gani wa haraka kuwatengea wananchi maeneo ya kulishia wanyama haswa wananchi wa mkoa wa Mara ? - Mhe. Agnes Marwa. Siku ya kwanza ya Bunge la 13, tarehe 27 Januari 2026 Mhe. Agnes Marwa amesimama kidete kuihoji Serikali kuhusu hatima ya wafugaji wa Kata ya Nyantwari...
  5. R

    PostGE2025 Tume ya uchunguzi Matukio ya Oktoba 29 yatua Mkoa wa Mara

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana kwa ajili ya kuzungumza na makundi mbalimbali ambapo leo wameanza kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa...
  6. R

    GE2025 Miradi 68 yaandaliwa kwa Mapokezi ya Mwenge Mkoa wa Mara

    Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Mara Agosti 15, 2025, ukitokea mkoani Simiyu, ambapo utazunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa huo na kukagua, kuweka mawe ya msingi, kufungua na kuzindua miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 26.54 Akizungumza na...
  7. R

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Daniel aibuka Mshindi Kura za Maoni Mgombea Ubunge Serengeti

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kuwania ubunge wa Jimbo la Serengeti, akimshinda kwa mbali mbunge aliyemaliza muda wake, Amsabi Amri Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na mratibu wa uchaguzi huo...
  8. R

    GE2025 CHAUMMA yapata watia nia Majimbo yote Mkoa wa Mara

    Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara akieleza kuwa hamasa imekuwa kubwa kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kuchukua fomu za kugombea udiwani...
  9. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mara awa kituko mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara. Asema kama amnifurahishi na wateteaje

    Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka; Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  11. chiembe

    Wanawake wa mikoa ya kaskazini wanavyojichotea mabilioni kutokana na kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara

    Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
  12. GENTAMYCINE

    Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Mara: Abiria 16, Dereva na Kondakta wakamatwa kwa tuhuma za kumpiga Askari wa Usalama Barabarani

    Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara. Akizungumza kuhusu tukio hilo...
  14. figganigga

    Kwanini Mkoa wa Mara wana Mwenge wao Tofauti na Mwenge wa Uhuru?

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amewakaribisha viongozi, watendaji na wananchi wote kushiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Mwenge wa Mwitongo yatakayofanyika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo tarehe 1 Agosti, 2024. Mwenge wa Mwitongo ni mwenge wa Kabila la Wazanaki...
  15. chiembe

    Kwanini Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara leo? Mkuu wa Mkoa wa Arusha yuko wapi?

    Mwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!? Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Arusha hajaenda kuushughulikia? ======= Mbio za Mwenge wa Uhuru leo July 26th, 2024 zimeingia katika...
  16. peno hasegawa

    Shida ya maji Mara: Kinamama wamlilia Rais Samia awatatulie shida yao

    Tutegeni masikio tusikilize! --- Wananchi wa Mkoa wa Mara wamejitokeza kutoa malalamiko yako kuhusu shida ya maji katika Mkoa wao. Wakazi hao wanadai maji yanayopatikana ni mabaya yanawasababishia muwasho na kuwafanya watokewe na unga unga. Aidha, wanadai maji hayo yamewashinda hata mifugo ya...
  17. GENTAMYCINE

    Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  18. Poppy Hatonn

    Mkuu wa mkoa wa Mara naye asikiliza kero za wananchi kijijini Butiama

    Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............." Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya...
  19. Ojuolegbha

    Mbunge Agnes Marwa akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu. Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
  20. G

    Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

    Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri. Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
Back
Top Bottom