Mahakama Kuu ya Mombasa imemhukumu Murad Awadh Mbarak (40) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumuua mke wake, Nuru Ibrahim, katika eneo la Kanamai, Kaunti ya Kilifi.
Mahakama ilisikia kuwa mnamo Juni 19, 2022, Mbarak alimchoma kisu mke wake huyo mwenye umri wa miaka 28 mara kadhaa kufuatia...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku.
Akisimulia kisa hicho...
WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI...cc; BAKARI MAHUNDU
https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto.
Je alikuwa bado...
Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri.
Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi.
Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
Habari za leo wakuu.
Leo tukiwa kibaruani kwetu kwa mhindi,sasa tukawa tunapiga story mbili tatu kupoteza muda tu ili masaa yaende tuondoke zetu kurudi home.
Kuna jamaa yetu akatushirikisha jambo ambalo mimi binafsi limenishangaza kidogo.
Jamaa anasema juzi aliporudi home usiku mida ya kama...
Sina mia mbaya na wagombea ila Nina waswas yakuwa Wagombea wa VITI vya uraisi nchini Tanzania ni Masster na Mapdri walio zaa nje ya ndoa.
Nataka niwakukumbushe nyie vijana wa 2000 Kuna mtu aliitwa Proffesa lipumba aliwai gombea uraisi na kuwekewa pingamizi na chama Cha mapinduzi yakuwa wanaisi...
Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe
Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo
KIMSINGI kifo chake it was a planted mission
Ambayo Mabeyo, Sirro na wenzake watajibu mbele ya...
Wadau Ujuaji siyo mzuri ila furaha ni jambo njema tuendelee kujifunza lugha za wakubwa duniani tusikate tamaa! Kiswahili ni kiswahili na kiingereza kisalie hivyo! -SHE delivered a baby boy ❌
-SHE was delivered of a baby boy ✅
➡️
➡️ kumbuka kwa Waingereza "A woman is...
Wahenga wa muziki wa dansi nchini hebu tukumbushane kisa hicho cha kweli na Nini hatima yake. Nakala kwa Mtangazaji mkonhwe na Manju wa Muziki Masoud Masoud
Wakuu,
Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto.
Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama.
Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito
Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
Tutampopoa Makamba mpaka akome
Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge
Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya.
Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
Ndoa zina mambo!
Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda.
Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
Mwanaume unaempiga vita asiwe kiongozi wa kwanza kwenye nyumba na jamii, ndio mtoto wako wa kiume anaekua kwa kasi ndani kwako, usisahau..
Ni ngumu kuwa juu ya mumeo, na ukatamani mtoto wako wa kiume, aje kuwa juu ya mkewe.
Ngumu sana kumfanya mtoto wako wa kiume awe mwanaume kwa familia yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.