List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.
1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua.
2. Kazi unayofanya...
Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia.
Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza kuuliza kabisa ehee ikawaje, kikafuata nini, na hili bezi sasa duh !
Kuna umbea umekuwa kama Series...
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa.
Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani.
Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..?
Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu.
Eti wakuu ina maana gani hiyo?
Hii code nilichelewa kuijua aisee, nimeaibika sana.
Kuna baa moja inatwa Mazembe ipo Segerea huwa naenda kuangalia mpira mara kwa mara, sasa bhana ina wahudumu wamejazia hatari, kwa wanaoijua wataelewa navyosema kujazia. Sasa pale kuna ujinga ujinga wa ujana huwa nafanya
Sasa jana nikasema...
KAA MBALI NA ZINAA
Michepuko ni malaya waliochangamka, dada wa shetani na mashine ya ilioundwa kutoka sodoma kwa ajili ya mapenzi thus kuhusu aibu na majuto, sahau kabisaaa.
Anafurahia kwa maana anajua anatikisa ngome ya ndoa ambayo anaona inapewa promo sana huku yeye dunia yake inaonekana ya...
Ijumaa Kareem!
Mkeo alishaongea alichoongea. Kiwe ni kweli au sio kweli hiyo sio ishu. Waliombeza walishambeza. Hukuwa na sababu ya kutoka juu kwa juu na kuanza kushambulia watu hovyohovyo kama mwanaume asiyejielewa, mwanaume usiyejua nini cha kufanya.
Ulichofanya ni utoto, uvulana au mara...
Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......
Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7
Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......
Una Mke au...
Ameandika James Gn,
JUKUMU LA KIUNO KUWA LAINI NA CHEPESI NI LA MWANAUME NA SI MWANAMKE.
Kama wewe ni Mwanaume na Umekaza fuvu eti kwa kudhania Mwanamke ndiye mwenye jukumu la kukishitua kiuno au kukatika wakati tendo likiendelea unapote sana.
Mbali na ukweli kwamba Wanawake ndiyo hujilegeza...
👉 Jesus News Radio
Katika jamii nyingi, hasa zile za Kiafrika, wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama watu wa pili ndani ya familia au ndoa. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba wanawake ndio nguzo kuu ya familia. Mwanamke ndiye anayeshika nafasi ya pekee ya kulea watoto, kutunza familia...
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa...
Na Wanawake wenye hizi tabia wanatoka sana katika haya Makabila tajwa....
1. Wahaya
2. Wanyiramba
3. Waha
4. Wanyaturu
5. Warangi
6. Wakara
7. Wanyamwezi
Huwezi kukuta Mwanamke kutoka Mkoa wenye Wanawake wenye Adabu na Nidhamu Tanzania nzima kama wa Mara (Musoma)
1. Mchungaji wake
2. Tajiri
3. Mwalimu wa mazoezi
4. Rafiki yake wa kiume
5. Daktari wa familia
Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani.
https://youtu.be/mukEPwaGAOo
Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana.
Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe lakini ukiangalia kwa undani utagundua Mwanaume Adamu alionewa tu hakua na kosa lolote.
Hivi ebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.