mke wa mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

    Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane. Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...
  2. Nataka nilipize kisasi kwa dada ambae sasa ni mke wa mtu

    Huyu dada tumesoma nae shule ya msingi. Nikiwa msingi, waliniita mtoto wa mama, kwakua nilikua naogopa wanawake. Siku moja alimwambia rafiki yangu kua, ajifanye tunaenda chooni kisha tukifika, yeye atanivuta kwenye choo cha wanawake, rafiki yangu kwakua alishakua mzoefu wa wanawake, yeye alikua...
  3. K

    Nimemnunulia mke wa mtu zawadi ya chupi,kazipokea

    Kila nikitoka home nikirudi,huyu mke wa mpangaji mwenzangu ananiomba zawadi. Nikasema ngoja nimtege kidogo,jioni hii nimepita duka flani la nguo za kike nikanunua chupi za kike kama 3 hivi ,nimefika tu home naingia getini nashangaa mtu ananiulizia zawadi zake,nimetoa mfuko nikampa Nikamwambia...
  4. Nafikiri kitu bora cha kijasiri utakacho wahi kufanya kama mwanaume ni pale utakapostopisha mihemuko endapo utajua huyo ni mke wa mtu

    Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
  5. Hivi unapomuomba mke wa mtu number ya simu akakupa anakua na maana gani?

    Wakuu Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
  6. Mchungaji apata kipigo, anusurika kuuawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    Mji wote ulizizima! Mchungaji mashuhuri, anayeheshimika kwa mahubiri yake makali ya utakatifu, alijikuta kwenye kashfa nzito baada ya kufumaniwa na mke wa mtu. Tukio hilo la kushtua lilitokea katika mji mmoja huko Mashariki ya Kati, na chanzo chetu cha kuaminika kimedokeza kuwa Mchungaji huyo...
  7. Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  8. Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  9. Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

    Wakuu,hizi ndoa za zama hizi naona zina matatizo sana. Well ni mke wa mtu nilikua namuimbisha,akajaa,ghafla mumewe kasafiri kwenda Dodoma kikazi,akaanza kuwa ananipigia simu mida mibaya,so jana usiku mimi nikamtania tu anitumie picha ya utupu wake nione ilivyo. Lahaula si akatuma kweli picha...
  10. Mke wa Mtu Sumu: Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

    Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo yalinifanya niamini kuwa maisha yangenyoosha tu. Katika kipindi hicho, nilijijengea utamaduni wa...
  11. Kijana tafuta hela mambo ya mke wa mtu ni nadharia za watu masikini na ambao hawajapevuka akili.

    Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili. Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka. Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
  12. Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  13. Huyu mke wa mtu analika au haliki?

    Mko poa watu wa humu? Kuna mke wa mtu nimeanza kumtongoza, na mpaka sasa tumefikia hapa. Je analika au haliki?
  14. Video: Madhara ya kutembea na mke wa mtu vijijini

    Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
  15. Kuna mke wa mtu nilianza kama utani ila nimemkaribisha kwa siku moja nyumbani kwangu siku hiyo hiyo nimemtamkia ndo nikaanza nakumtafuna

    Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
  16. Mwanamke yeyote ambae ni mke wa mtu anapoamua kuchepuka ni Ishara kuwa yuko kwenye hatua za Kufubaa

    Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka. Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae. Pang Fung Mi
  17. Usitembee na mke wa mtu tafuta wa kwako

    1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe _ 2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa, 3. Mkiingia guest msiandikishe majina yenu halisia, _ 4. Ukimpigia simu akakata usipige tena labda...
  18. Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi ni mbaya sana

    Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wamepelekwa Kwampalange Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni...
  19. K

    Mke wa mtu alivyoharibu ndoto zangu

    Mimi ni kijana nimeajiriwa moja ya kampuni kubwa hapa Tanzania.Nafanya kazi na mwanamke mmoja hivi na Mume wake.Wote wamenipokea kazini. Mume wa huyo dada ni kicheche balaa ni mtu wa totozi.Hizo ni story nilipewa baada ya kukaa nae miezi miwili ofsini.Mke wake ashamfumania mara kibao na...
  20. Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

    Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora. Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…