Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule...
Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
Kufanya stori iwe fupi
Huyu nitampa jina la Mfp, mumewe alifanya kazi benk flan sitaitaja, mrembo cheusi flan, kakikuwa na matatizo ya kiafya kakaomba light work na mambo kadhaa.
Ni mara kwanza kumuona alidai yeye ananifaham na mifano ya maeneo tukopishana.
Basi nikaona tu huu ni mtego, Kwa...
Jamani wakubwa zangu shikamooni.
Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa.
Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
Wadada wananitongoza sana ikiwemo wake za watu, ila kuna mmoja huyo naona nitajitolea muhanga, mana ni mzuri kisha ananisumbua sana.
Tatizo moja tu, nasikia ukitembea na mke wa mtu na wako anafanyiwa, hicho ndio kinaniwazisha mana nina wivu sana, je wadau ni kweli au nitimishe matamanio ya...
Nimekuwa nikijiuliza swali hii kwa muda sana! naomba wadau tujadili kwa pamoja Kwa Nini wanaume Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu? Na wengine utakuta anamke wake ila atatembea na mke wa mtu mwingine:cool:
Za saizi wajumbe?
Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.
Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "
Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
habari wadau. Poleni na majukumu ya kilasiku.
Stori ipo hivi kuna dada fulani alijilengesha nikaomba mzigo akanikubalia tukaenda kupima tukakuta tupo fresh tukaanza kukutanisha vikojoleo.
Kumbe ni mke wa mtu mimi nilikuwa sijui.nilikuja kujua baadae .nikamuuliza kama kweli nimke wa mtu...
Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini,
Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI!
Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
🚨MWANAUME👂
1- Usilale na Mke wa mtu
Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele
2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako
Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha
3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako
Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌
4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku...
Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha taarifa za...
Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa
Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
Habari zenu
Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia twende zetu zanzibar tukale raha.
Nikubali au nikatae wakuu?
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa.
Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali”
Wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.