mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Napendekeza tujue historia na makuzi ya viongozi wetu kabla ya kuwateua au kuwachagua urais

    Katika kuwachunguza na kuwatathmini viongozi waliowahi kuongoza taifa letu, kuna kitu nimeona. Historia na makuzi yao vina mchango mkubwa katika ubora au uhovyo wao. Mfano, Mwalimu Nyerere alisifika kwa kuleta uhuru, kujenga huduma za jamii na za kiuchumi thabiti kama vile miundo mbinu hasa...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola Je...
  3. JamiiForums Tanzania Zisingekuwa kampeni za uraisi Samia hasingeomba kura ya Hayati mkapa, je mkapa atapiga kura?

    Wewe uko kwenye kampeni unaambatana kwenda kwenye makabari ya MAREHEMU kufanyaje?. Je, Mkapa atapiga kura Mwaka 2025? Tangu amefariki hujawai kwenda, leo kisa wataka Urais ndo wajitia kwenda kumwomba kura MAREHEMU kwani anapiga kura?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ila Simba eti wanaingia kwa Mkapa kama Mazombie

    WanaSimba Wanakuja kama Mazombie kwa Mkapa🦁 Leo hadi Simba day iishe tutaona mengi sanaa 😂 😂 😂 😂
  5. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
  6. JamiiForums Tanzania 1995 Mkapa alikuwa turufu, 2015 Magufuli akawa turufu, 2025 turufu atakuwa nani?

    Kimsingi toka kuanzishwa chaguzi za mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, CCM wamekuwa wakipitisha wagombea Urais kwa turufu za ubora wa wahusika. Mwaka 1995 walimpitisha Mkapa, ila sote tunajua Kikwete alikuwa anaongoza kura za maoni. Busara za Nyerere zikasikilizwa Mkapa akagombea. Hiyo ndiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliona mbali, alimsisitizia sana Mkapa ili JK asiwe Rais wa Tanzania, na Mkapa alipokumbushwa akajibu kila mtu ana makosa

    Ninapoongelea nguvu ya Mtandao, au wengine wakiuongelea, watu wengi wanachukulia kama mzaha. Sasa ngoja niwape habari za ndani kidogo. NI kwamba, kabla hajafa, Nyerere aliweka msimamo thabiti kwamba Kikwete hakuwa kiongozi aliefaa kuwa raisi wa Tanzania. Ilionekana wazi kwa Kikwete na kundi...
  9. JamiiForums Tanzania WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  11. JamiiForums Tanzania Rangi ya viti kwa Mkapa imeleta giza uwanjani

    Mpangilio wa rangi za viti na rangi zenyewe umeleta giza ndani ya uwanja wa Mkapa. Hata Mpira unapooneshwa na kamera kuelekezwa kwenye maeneo ya vitu visivyo na watu au watu wachache unaona kabisa ule mvuto wa uwanja umepungua kabisa. Inawezekana lengo la kuweka rangi za bendera yetu ya Taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni miaka 10 sasa tangu hayati Mkapa atuite watanzania tunaopenda upinzani “malofa”

    Nyakati zinakimbia sana! Miaka 10 iliyopita wakati wa kampeni za kumuweka madarakani John Pombe Magufuli, hayati Benjamin Mkapa alitupa tusi lenye kejeli ndani yake la kutuita malofa. Sijui nini kilimsibu mzee wa lupaso mpaka apayuke neno lile gumu kwa Watanzania. Anyway yeye na Magufuli...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu Team Wazalendo Mnatakiwa Kumlilia ni B.W. Mkapa

    .
  14. JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  15. JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Je Mkapa angekuwepo na yeye angetoa baraka za kuwa na Bunge la kifamilia yaani Baba , Mama na watoto mnakutana bungeni?

    Taifa limekosaa wazee wa kushauri . Yawezekana Mkapa angeongea jambo Kama angekuepo Ila ndo hivyo. Maana Mwaka 2010 nakumbuka Mtoto wa Mkapa aligombea ubunge pale Kigamboni kura za maoni dhidi ya Ndugulile Ila mtoto wa mkapa hakutoboa katika kura za maoni. Ila Leo hii kinachoendelea ni aibu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

    Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania! Denis Mpagaze ___________________ 1. Wazazi wake walitamani awe Padre wa Jimbo akawa Rais wa nchi. Sisi tunapanga na Mungu anapangua. 2. Aliingia madarakani nchi ikiwa imedumaa kiuchumi, akatawala kwa falsafa ya “Huwezi kupata maendeleo bila...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Nilimwambia Aga Khan njoo anzisha magazeti mengi, ya serikali na IPP hayatoshi

  19. JamiiForums Tanzania Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliyoundwa na Ben Mkapa rasmi imeshajifia. Rushwa sasa haimshitui mtoaji wala mpokeaji

    Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti. Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao. Yaani TAKUKURU imekufa na...
  20. JamiiForums Tanzania Walinzi wa uwanja wa Mkapa ni mzigo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…