mjumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Meneja NHC K'njaro Juma Kiaramba aula,ateuliwa mjumbe Bodi ya Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa anga(TCAACCC)

    Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu "Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Anga Tanzania. 'Tanzania Civil Aviation Authority - Consumer Consultative Council' (TCAA...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Salva Kiir ameteua Mjumbe aliyekufa kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa ZEC, Awadh: Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda bila ubaguzi, kukengeuka wala kushabikia upande wowote kwenye Uchaguzi

    Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo. Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima. Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM. "ukichukua...
  9. JamiiForums Tanzania Mo Dewji amrejesha Simba Barbara Gonzalez kama Mjumbe wa Bodi

    Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini. Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Ikitokea Mbowe ameahamia CHAUMMA, nini hatma ya ile nafasi yake ya mjumbe wa kudumu?

    Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi. Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli . Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili. Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ajipatia Tsh 370,000/= kwa kujifanya mjumbe wa CCM .

    Mkazi mmoja wa Bwina Chato ndugu Majumbi amaejipatia Tsh laki tatu na sabini baada ya kushona shati la kijani, suruali nyeusi na kofia ya kijani iliyoandikwa SSH 2025 Hii ndio inaitwa akili mkichwa.
  13. JamiiForums Tanzania PM kwani sio Mjumbe wa Kamati Kuu?

    Mwamba unamuona Serbia mara Abu Dhabi. Huku Dodoma wakichinja syndicate yake bila huruma. Siasa zetu ni shidaa
  14. JamiiForums Tanzania Huu msemo wa mjumbe auwawi hauna mashiko

    Mbona wajumbe wengi waliuliwa kikatili?
  15. JamiiForums Tanzania Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Shirikana Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi Niko hapa King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Kati ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC na Jukwaa la Wahariri, TEF. Tuanze na wasilisho WASILISHO KUHUSU UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI Hamad Abdallah Hamad Mkurugenzi Mkuu Shirika la Nyumba la...
  16. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya CHADEMA ajiuzulu nafasi yake

    Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa. Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa Bodi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

    Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kituko Mkutano Mkuu CCM: Wajumbe wamshangilia Mjumbe Chama Kikuu Urusi aliyesifia Utekelezaji wa Miradi ambayo kwa 90% imefadhiliwa na Marekani na EU

    Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao. Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndo kazi za Mbunge au ni kazi za Balozi/ mjumbe?

    Tanzania tuna safari ndefu sana
  20. JamiiForums Tanzania Mdude Katekwa, mjumbe, mwenyekiti wa mtaa na mbunge wa Jimbo lake walipaswa kuwa mstari wa Mbele kupigania upatikanaji Wake.

    Sabato Njema! Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati. Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana. Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…