mji

Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية‎), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

    Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni .. Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa... Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Makongolosi Chunya Mbeya mji unaoongoza kwa utupaji holela wa Takataka na mamlaka zipo zimetulia

    Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea. Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
  3. JamiiForums Tanzania Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

    Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini? Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC...
  4. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 bungeni...
  5. JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

    Wakuu, Habari ndio hiyo, Waasi wa M23 wanaelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Sud Kivu baada ya kuuteka mji mkuu wa Nord Kivu wa Goma. ================================================== The humanitarian crisis in the Democratic Republic of Congo intensifies as Rwanda-backed M23 rebels advance...
  6. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mji uliojaa wazururaji

    Najua hii mada itawashtua wengi na wengine watapanda munkari ila embu tuelewane kwanza kabla haujajibu kwa jazba. Kwa tathmini yangu ya muda mrefu ni kuwa mji wa Dar es Salaam umejaa watu wasio na kazi maalumu. Wale wenye ajira rasmi serikalini au katika sekta binafsi ni wachache sana, wengi ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mji wa Goma (mashariki mwa DRC) watanda giza

    Toka jana tarehe 23 Januari 2025, mida ya saa mbili usiku, mji wa Goma uligubikwa na giza. Ni baada ya taarifa za kifo cha aliekuwa mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini Mejor General Chirimwami. Leo subuhi, maji,umeme na huduma za mitandao havikupatikana kabisa,jambo lililozua hofu kwa wakazi wa mji...
  8. JamiiForums Tanzania Dunian sijawai kuona mji wa kipuuzi Kama Phuket unazunguka hotel zaidi ya 200 zote full?

    Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong! Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ , asubuhi nikachukua taxi tukazunguka kila hotel kutafta cheap ! Nazo Nikaambiwa kwamba hata hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

    Ilikuwa hivi: Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles, Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao, Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki) 2.thamani ya mama , 3.Lopez 4.MUNGU. Ktk...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania KOROGWE MJI TUNAKWENDA NA KAMANDA MBOWE

    Utafiti niloufanya katika jmbola KOROGWE MJI ambalo linawajimbe watatu wa mkutano mkuu kati yao wawili wamesema watampigia kura MBOWE
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

    Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo. Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri. Pamoja na kwamba ni jiji, lakini ukililinganisha na jiji la Dar Es Salaam ni kulionea, na ukisema...
  14. JamiiForums Tanzania Mji Ambao Kubeba Silaha Ni Wajibu

    Kennesaw,Georgia ni mji mdogo wa kusini Marekani. Harufu ya mikate inayonukia kutoka kwenye tanuri mikate ya Honey suckle Biscuits &bakery,huku kwa mbali sauti ya treni ikisikika Ni sheria iliyopitishwa mwaka 1980 inawalazimisha wakazi wa mji huo kumiliki kubeba silaha na bunduki,kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: kuanzisha mji wangu katika mkoa wa Mwanza

    Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu. Katika tafakuri zangu za maisha nimepata wazo moja ambalo nahisi linaweza kunisaidia kwenye siku za usoni, nataka kuanzisha mji wangu mimi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama afika Mji wa London, azungumza na Watanzania waishio Uingereza

    Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya afya nchini Tanzania. Miongoni mwa mambo waliyojadiliana katika kikao...
  18. JamiiForums Tanzania Mji wa Homs wachukuliwa na waasi wanajeshi wa Assad wajisalimisha

    Siku ya Leo muda sio mrefu, waasi wa HTS wamefanikiwa kuiteka mji wa Homs ikiwa ni baada ya Jana kuuchuka mji wa Hama. Kwa Sasa kazi iliyobakia ni kuchukua mji wa Damascus.
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ujenzi wa Njia Nne Bukoba unasuasua, Mamlaka hazifahamu barabara hiyo ndio mlango wa uchumi wa Mji?

    Oktoba 28, 2023, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera alielekeza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) - Kagera kumsimamia Mkandarasi M/s Abemulo Contractors Ltd afanye kazi usiku na mchana ya ujenzi wa upanuzi wa njia nne wa Barabara ya Bukoba...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…