mji

Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية‎), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Singida Ilitakiwa Kuwa Mji Mtamu

    Singida ina potential kubwa sana ambayo bado haijatumika kikamilifu. Imagine katikati kabisa ya mji kuna view ya mabwawa mawili, hali ya hewa ya kawaida, mazingira yenye utulivu na maji yanayoweza ku-refresh akili. Kwa mipango mizuri ya mji, Singida ingeweza kuwa moja ya miji yenye kuvutia zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Kigamboni Ilipaswa Kuwa Mji wa Hotels, Malls na Skyline Kubwa ya Dar

    Kigamboni ilikuwa na potential kubwa kuwa mji wa kisasa zaidi Tanzania kutokana na beach nzuri, usalama, nafasi kubwa ya ardhi na ukaribu na city centre. Watu walitegemea baada ya daraja kujengwa ingejaa hotels kubwa, malls, arenas na majengo marefu kama Dubai au Miami. Lakini imebaki local...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  4. JamiiForums Tanzania Mizoga ya Magaidi wa Hezboullah imezagaa kwenye fukwe za bahari huko Lebanon-Kusini.

    Nyaraka kutoka ufukweni kusini mwa Lebanon zinaonyesha mizoga ya magaidi wa Hezbollah waliouawa katika siku za hivi karibuni na sasa zinaozeana na kukaushwa na jua la jangwani tu. Magaidi wa Hezbollah waliyataka wao wenyewe kwa kujipendekeza kwa Bwana wao Iran!!
  5. JamiiForums Tanzania Mji wa Bint-Jibeil huko Lebanon-kusini watekwa rasmi na Majeshi ya Israel!!

    "Lango la Ushindi" la Bint Jbeil laangukia mikononi mwa majeshi hodari ya Israel!! Kikosi kazi cha 'Argentina' cha IDF imekamilisha shughuli zake kwa kuuteka mji wa Bint Jbeil kufuatia kutekwa kwa mji wa kusini mwa Lebanon, ambao hapo awali ulielezewa na Marehemu Gaidi Hassan Nasrallah kama...
  6. JamiiForums Tanzania Leo nilipata off kazini na nikawa napiga stori na dereva boda. Akanisimulia jinsi UKIMWI unatembea kimya kimya ila kwa kasi kwenye mji wetu. Inatisha!

    Watu wanaumia aisee jamaa katoka machimboni, karudi anapewa story kuwa mke wake alikuwa anaruka ruka nje, break ya kwanza ni kwenda kupima kwa lazima, imebidi jamaa amkimbie waifu kimya maana wife ana umeme na amemuachia chumba na vyombo vyote. Mzee hapa mtaani ana wake watatu, alivyojigundua...
  7. JamiiForums Tanzania Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi

    Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi: 1. Taarifa za Msingi - Title Block Jina la mradi - Mf: Nyumba ya Makazi ya Bw. Juma Ally Mmiliki - Jina kamili la mteja Mahali - Plot No, Block, Kitongoji, Kata, Wilaya Msanifu - Jina, saini, namba ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ajira Mpya (Walimu) Temeke tuliwekewa Laki 9, tukaambiwa ni nauli, sasa hivi wanatuambia turudishe

    Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila mmoja alipata laki tisa na point. Hatukujua nini, kuna baadhi ya wenzetu walijaribu kupiga simu...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mji Mkuu wa Irani Umeshambuliwa vibaya sana na vikosi vya US na Israel

    Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo. Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa. Kitengo cha BBC Verify kimechambua video tatu zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Galilaya kwa Sasa ndio mji Gani?

    Wana theology,wataalam wa biblia na wale Wana historia napenda kuwasilisha swali kwenu nikitaka kujua mji wa galilaya ambao umetajwa kwenye biblia kwa Sasa uko katika nchi Gani na huo mji kwa sasa unaitwaje? Miji kama ya nazalete,sodoma na gomora n.k iko katika nchi Gani na kwa Sasa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma: Watumishi wa Hospitali ya Mji Kondoa tunanyanyaswa na Mganga Mfawidhi

    Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao tukipata ujauzito hua baadhi yetu tunakua na changamoto za kiafya kutokana na mimba tulizo nazo ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Tunashukuru kwa kuutuliza mji na kutusitiri

    Tungeweka wapi sura zetu waja wako
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja la Kibaha Mji - Mtaa wa Lumumba litengenezwe tunapata shida wakazi wa huku

    Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ist new model, Raum, Spacio, Rumion, Run X, unachukua ipi kwa mizunguko ya town na nje ya mji kidogo ?

    IST RAUM SPACIO RUMION RUN X
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iuangalie mji wa Kahama kwa jicho la tatu

    Picha zote nilizotumia kwenye uzi huu ni za Kahama Mimi sio mkazi wa Kahama ila huu mji unahitaji attention Kahama ni mji unaokua kwa kasi na mzunguko wa hela upo vizuri kwa level za Kitanzania Population inakua kwa kasi na sababu kuu ni shughuli za uchimbaji madini Lakini hivi karibuni...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Barabara ya Chelesi – Kisiwani (Kibedange), Makambako

    Wakuu, naomba nitoe kilio cha wananchi kuhusu hali ya barabara ya kuanzia Chelesi hadi Kisiwani (Kibedange). Barabara hii imeharibika sana kwa sasa kiasi kwamba magari na bajaji yanapita kwa shida kubwa. Hali hii inasababisha wananchi kushindwa kuwa huru katika shughuli zao za kila siku...
  18. JamiiForums Tanzania Mji wa watu wanaokula zaidi duniani

    https://youtu.be/cgu-XOhE5k8
  19. JamiiForums Tanzania Ukraine yapoteza mji wa mashariki uliokumbwa na vita

    Wanajeshi wa Ukraine wamejiondoa kutoka mji wa mashariki wa Siversk uliokumbwa na vita, huku Urusi ikiendelea kusonga mbele taratibu. Jeshi la Ukraine lilisema Jumanne kwamba lilichukua hatua hiyo "kuokoa maisha ya wanajeshi wetu na uwezo wa kupigana wa vitengo", na kuongeza kwamba vikosi vya...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…