mjane

Gunnar Mjånes (17 April 1921 – 2 November 2002) was a Norwegian politician.
He was elected deputy representative to the Storting for the periods 1965–1969 and 1969–1973 for the Christian Democratic Party. He replaced Bergfrid Fjose at the Storting from October 1972 to September 1973.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    Mke asimulia alivyompoteza mume wake vurugu za Oktoba 29,2025

    Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo, wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na...
  2. Desierto

    Zamani ukisikia mjane fikra inakutuma ni mama wa makamo

    Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko. Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
  3. The Father of All

    Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

    Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala...
  4. Replica

    Yusufali anatapeli nyumba au 'mama Mjane' anang'ang'ania mali ambayo walishauza?

    Yusufali amedai kununua nyumba husika mwaka 2011 na anakuja kumuondoa Alice zaidi ya miaka 10 baadae huku sababu kuu ikiwa safari za nje ya nchi zilizomtinga lakini anafanya eviction akiwa safarini pia. Mahakama hizi za Ardhi huwa zinauliza ulikuwa wapi kwa muda wote huo? Uhalisia wa bei japo...
  5. Waufukweni

    VIDEO: Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine

    Taharuki kubwa imeibuka Mikocheni jijini Dar es Salaam, baada ya mjane Alice Haule kuvamiwa na watu kwenye nyumba yake aliyoachiwa na marehemu mumewe, Justice Rugaibula kisha kumtoa kwa nguvu pamoja na wapangaji wenye asili ya Kichina, waliokuwa wakiishi kwenye nyumba hiyo. Taarifa za awali...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mjane apigwa butwaa baada ya kuona watoto wa nje ya ndoa wa mme wake wakitambulishwa na ndg!

    Ni huko ukweni kwangu jtano hii wiki iliyopita wife alienda msibani wa baba yake mdogo mimi sikwenda. Huyu marehemu alikuwa na mke mmoja wa ndoa ambae wamebahatika kuzaa watoto 2 tu kisha mwanamke akafunga uzazi. Maisha hayakuwa mabaya na si mazuri sana au si mabaya sana kiuchumi ni ya kati(...
  7. evangelical

    Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu ================= Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  8. Zanzibar-ASP

    Mafao ya ustaafu wa Ndugai yaende kwa mjane yupi? Hizi ni kodi zetu, hatutaki kuwalipa mahawara au watu wasiostahili

    Sheria za kindezi zilitungwa kuwanufaisha wenzi wa viongozi wa juu wa nchi pale viongozi wale wanapokufa. Sasa ngoma imeanza kuwa nzito baada ya kifo cha Ndugai, na kuibuka kwa wajane wawili tofauti. Mjane wa kwanza, anahamika kama Stella Mmasy, ikielezwa ni mke wa kwanza wa ndoa ya kikristo na...
  9. GENTAMYCINE

    Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  10. L

    Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania. Ni picha iliyojaa nyuso za...
  11. J

    Tanzania imekuwa kama nyumba ya mjane

    Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema! Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA. Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali...
  12. S

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40
  13. Just Pray

    Mahakama yaamuru kupigwa mnada nyumba ya mjane ili kumfidia aliyeumia mguu kwa ajali ya bodaboda

    Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa...
  14. GENTAMYCINE

    Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

    Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
  15. S

    Jerry Slaa: Nilishirikiana na Msama kupora eneo la shule ili amilikishwe mjane wa kigogo

    Jinai ni jinai tu, hata kama jinai hiyo inatendwa ili kumsaidia mjane wa kigogo. Kwenye clip hii (kuanzia dakika ya 1 na sekunde 3), Jerry Slaa anakiri kushirikiana na Msama kufanikisha mpango wa kumsaidia mjane wa kigogo mmoja kulinunua eneo la shule ya sekondari. Slaa aliitenda jinai hii...
  16. P

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo. Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
  17. DeMostAdmired

    Rafiki mjane Bibi John aliyekosa msaada, nasikitika sikumzika

    Salam ziwafikie JF members. Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
  18. Replica

    PreGE2025 Hai: Mjane wa Lyatonga Mrema aenda CCM, adai amerejea nyumbani

    Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi kadi ya chama alichokuwa awali na kuchukua kadi ya CCM.
  19. benzemah

    Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  20. O

    Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Kampuni ya CMC Motors ilivyomtetea mjane wa Bilionea Msuya

    [Kampuni ya uuzaji magari ya CMC Automobiles Limited imeieleza Mahakama kuwa gari aina ya Ford Rangers yenye namba za usajili T307 CBH, inayohusishwa katika kesi ya mauaji ya Aneth Elisaria Msuya iko kwenye gereji yake tangu Mei 9, 2016. Maelezo hayo yametolewa na Meneja Utawala na Matengenezo...
Back
Top Bottom