mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakistan: Mjamzito agongelewa Msumari kichwani na Mganga wa Kienyeji ili ajifungue Mtoto wa Kiume

    Msako unaendelea nchini Pakistani kumtafuta mganga wa kienyeji anayedaiwa kushindilia msumari kwenye kichwa cha mwanamke mjamzito. Mwanamke huyo alifika katika hospitali ya Peshawar baada ya kujaribu kuchomoa msumari wa 5cm (inchi mbili) kichwani kwake. Awali, aliwaambia madaktari kuwa...
  2. Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake wawili. Jeshi hilo limesema wakati wa kumhoji, mtuhumiwa huyo alidai kuwa alikuwa anamdai mjamzito huyo gunia mbili za mahindi. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa...
  3. Naomba mnisaidie kwa wanaofahamu hii kitu je ina ukweli?

    JINSI YA KUTAMBUA TAREHE AMBAYO MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA Habari za wakati huu ~Ukianza na tarehe yako ya mwisho ya hedhi toa miezi 3 halafu jumlisha siku 7 Kwa mfano:kama tarehe ya mwisho ya hedhi ilikuwa tarehe 10 mei ukitoa miezi 3 itakuwa februari 10 na ukijumlisha siku 7 itakuwa...
  4. Ileje: Binti Mjamzito auawa kwa kuchomwa Kisu na Mwili wake kuchomwa Moto

    MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni kisha mwili wake kuchomwa moto na anayesadikika kuwa mume wake, Shukrani Kamwela (16) kabla ya kutupa mabaki ya mwili huo...
  5. Kunywa Chai ya bangi kuna madhara kwa Mama mjamzito na mtoto?

    Salaam Wakuu, Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke. Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai. Wachagga...
  6. Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

    Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
  7. Jennifer Lawrence atarajia kupata mtoto wa kwanza

    Jennifer Lawrence atakuwa mama! Mwigizaji huyo wa miaka 31 ana ujauzito wa mtoto wake wa kwanza na mumewe, Cooke Maroney. Mwakilishi wa Lawrence alithibitisha habari hiyo kwa Watu Jumatano. Lawrence na Maroney walioana mnamo Oktoba 2020 huko Rhode Island, mbele ya marafiki wao mashuhuri...
  8. Morogoro: Daktari Kituo cha Afya cha Mikumi mbaroni kusabisha mjamzito kujifungua kwenye bajaji

    MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella ameamuru daktari katika Kituo cha Afya cha Mikumi (jina tunalo) akamatwe akituhumiwa kusababisha mjamzito ajifungue akiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu maarufu kwa jina la bajaj. Shigella alitoa agizo hilo aliposikiliza kero za wananchi wakati wa...
  9. H

    Kukosa hamu ya kula kwa mama mjamzito

    Habari wakuu, Mimi ni mjamzito wa wiki 24 kwa sasa naona kuna hali ambayo inanikuta sasa sijui ni kawaida au lah,Mimi nakosa hamu ya kula vitu vyote yani sina hamu ya kula chochote na kwa sababu nasikia njaa huwa nakula ilimradi siku ziende. Je, hii hali ni ya kawaida kwa wajawazito au ni...
  10. Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

    Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k Amebakiza miezi 2 kwa makadirio. Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani. Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never. Kama inawezekana, nini vya kuzingatia? NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
  11. J

    Unawezaje kumuandaa mjamzito anayekaribia kujifungua?

    Mtie moyo mama mjamzito. Shika mkono wake, ongea naye taratibu, muonyeshe jinsi ya kupumua pumzi nzito zinazokwenda polepole. Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji, na hata kutoa sauti. Kila unapokuwa na mjamzito fanya maandalizi yote ya wepesi wa kumfikisha hospitali. Kujifungulia...
  12. J

    Vifaa na mahitaji muhimu ya kuandaa unapoenda kujifungua

    Kwa ajili ya kujifungua salama, andaa vifaa vifuatavyo: - Sabuni na maji kwa ajili ya kunawa mikono mara kwa mara, kumsafisha mama, na kusafisha vifaa tiba. Vilevile andaa beseni au bakuli kwa ajili ya kunawia na kupokea kondo la nyuma. Viwembe vipya au mkasi wenye makali kwa ajili ya kukata...
  13. Msaada: Nini suluhisho la kukosa usingizi kwa mama mjamzito?

    Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3. Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku lakin ikifika midaa ya 12. Hapo anapata usingiz mpka midaa ya saa 4. Sasa hofu yangu ni afya yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…