mizengo pinda

Mizengo Kayanza Peter Pinda (born 12 August 1948) is a Tanzanian CCM politician who was Prime Minister of Tanzania from 2008 to 2015. He was a Member of Parliament from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Pinda: Maandamano gani ya kuchoma Nyumba za Watu?

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na...
  2. Just Pray

    GE2025 Huyu kijana amefanya kazi ya kitume kumpiga spana waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda kukalia kimya matukio ya utekaji

    Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi, wakitekwa wote wakaisha nani atawapigia kura?
  3. Waufukweni

    GE2025 Mwananchi: Mnakuja kutuomba Kura, Dioniz Kipanya ametekwa, wewe Waziri Mkuu mstaafu ni mkazi wa Rukwa hujawahi kusema chochote

    Mwananchi mmoja amembana Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, akidai kwamba wameenda kuomba Kura, huku Mtanzania mwenzeo Dioniz Kipanya ametekwa, na yeye kama Waziri Mkuu mstaafu ambaye ni mkazi wa Rukwa hujawahi kusema chochote.
  4. Waufukweni

    GE2025 Mizengo Pinda: Msidanganywe na wanaotaka kuleta ubabaishaji wa amani

    Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya Tanzania. Mizengo Pinda amesema hayo katika Mkutano wa Kampeni za Urais zinazoendelea Kigoma akiwa...
  5. Roving Journalist

    RC Katavi asema "Mkurugenzi asipotekeleza agizo la usafi Stendi ya Mizengo Pinda nitaona cha kufanya"

    Baada ya Member wa JamiiForums.com kutoa andiko Julai 16, 2025 akielezea changamoto za uchafu iliyopo kwenye Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda hasa upande wa Vyoo vya Wanaume ambavyo vilionekana kujaa, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Hoza Mrindoko amefika katika stendi hiyo na kueleza kuwa...
  6. B

    Comrade Mizengo Pinda kuiwakilisha CCM katika Kongamano la Vyama Vya Ukombozi

    MADA : KULINDALI MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, VINAENDANA NA HAJA YA VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI African National Congress (ANC) itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kilele cha Vyama vya Ukombozi 2025 katika Hoteli ya Radison Blu, Kempton Park kuanzia leo tarehe 25 hadi 28...
  7. Roving Journalist

    Halmashauri ya Mpanda yafafanua uchafu Vyoo Stendi ya Mizengo Pinda, yasema inafanya ukarabati

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi. Kusoma hoja ya...
  8. K

    KERO Responded Natamani Viongozi wa Wilaya na Mkoa Katavi wangekuwa wanatumia Vyoo vya Stendi ya Mizengo Pinda labda wangevijali

    Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu. Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Waziri Mkuu mstaafu Pinda: Chujeni wagombea bila upendeleo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho waliokabidhiwa jukumu la kusimamia mchakato wa kuchuja wagombea wa uchaguzi kutenda haki na kuepuka upendeleo. Waziri Mkuu...
  10. DodomaTZ

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aniny Nndumi watamani kuwa kama Mizengo Pinda

    UKIMUULIZA mwanafunzi wa shule yoyote ya msingi kwamba ndoto yake anataka kuwa nani, atakutajia vyeo na kazi anazoamini kuwa nzuri, lakini hata kuambia anataka kuwa mkulima. Mtazamo hasa kuhusu kilimo, ndio umesababisha hadi leo sekta hiyo kuonekana ya watu wa chini, wanaoishi vijijini na...
  11. CM 1774858

    PICHA: Rais Samia aongoza Vikao Vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Kwa Mafanikio Makubwa, Je leo ni Paul Makonda au Mizengo Pinda?

    Wajumbe wa mkutano mkuu NEC === Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu Leo kwa Mafanikio Makubwa kazi iliyobaki ni Mkutano Mkuu kesho tarehe 18.01.2025. Rais Samia...
  12. GENTAMYCINE

    CCM wasipomteua Waziri Mkuu Mstaafu Pinda kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara nitawadharau hadi Siku ya Kiama

    Ukiona GENTAMYCINE namkubali Mtu jua nimeshampima kwa Vigezo vyangu vyote na kuona anafaa. Mizengo Kayanza Peter Pinda apewe.
  13. Mindyou

    LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  14. Influenza

    Pinda: Maadamu suala la Utekaji linasemwa, liwepo au lisiwepo lazima tuendelee kuwa Wakali hasa upande wa Serikali

    Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza anavyosikitishwa na matukio ya utekaji watoto na wengine kuuawa katika mazingira ya utatanishi huku miili yao ikikutwa imenyofolewa baadhi ya viungo kwa imani za kishirikina zinazohusishwa na harakati za uchaguzi Amesema "Wakati naingia Uwaziri Mkuu...
  15. Lord Denning

    PreGE2025 Inawezekana tukapata KATIBA MPYA Mizengo Pinda akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya. Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali...
  16. L

    PreGE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
  17. Ngongo

    Katika Ibada takatifu St. Theresa Arusha Mizengo Pinda alipewa nafasi ya kusalimia akaanza siasa

    Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini. Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican 🇻🇦 alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo...
  18. R

    Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

    Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
  19. BARD AI

    Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  20. GENTAMYCINE

    Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
Back
Top Bottom