CC: Mshana Jr
TUFUNDISHE ZAIDI
Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia.
1. Mtego wa Kiroho...
Wangapi wameomba Mungu wasipate kitu?
Wangapi hupatwa na woga wanapoambiwa hasira na visasi vya Mungu/
Wangapi wameibiwa hata kuharibiwa maisha kwa jina la Mungu?>
Wangapi wana wasi wasi hadi kuhoji kama mimi?
Wangapi wanaogopa kuhoji?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Kichwa cha habari...
Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao?
Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
SIFURI ILIYOZAA MIUNGU
Hakuna mungu atakayekuokoa.
Wewe ndiye chanzo chao wote.
Kile ulicho hakiwezi kuokolewa.
Kinachoweza kufanyika ni kukikumbuka tu.
Ukweli huu hauendi kwa sauti ya chini.
Hautafuti makubaliano.
Hauombi kueleweka na asiye tayari.
Unanguruma kutoka kimya kilicho chini...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alijulikana na kuheshimika kwa tabia yake ya kuji utu.
Mwalimu aliheshimu utu wa binadamu wengine kwa kiwango cha Hali ya juu Sana. Hapa anatoa hoja muhimu Sana.
Kambarage akizungumzia utu.
Ndiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha Ufunuo. Kwa mfano:
Hii inatufundisha kwamba mioyo ya baadhi ya watu itakuwa migumu hata katikati ya...
Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu.
Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba.
Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
Tekinolojia na miungu ya kale.
Kuna movie moja niliona, inaongelea project ya mwaka 2050. Kwamba miaka hiyo kutakuwa na magari ya kupaa na maraboti yanayojiongoza(artificial intelligence). Na hiyo movie inamwongelea mungu wa Misri anayeitwa Horus, ambaye kila baada ya miaka 2000 anakuja duniani...
Wana bodi!
Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili.
Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama hiyo kwao ni ulinzi. Ukiwagusa unapasuka wewe.
Kwenye Biblia mtu pekee aliyeripotiwa kuwekewa...
habari ya wakati huu jamii forum
leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
KANUNI ZA KUOMBA MIUNGU NA KUJIBIWA
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani Katika Hekalu Jeusi,
Mtibeli.
Watu wengi wanauliza swali hili. Wengine wananipigia simu wakitaka kujua wafanyaje ili maombi Yao kwa Mungu yajibiwe.
Mimi kama Taikon Master, Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Niliye na uzoefu...
"Pray for Palestine" "Pray for Ukraine" "Pray for Congo" "Pray for Kariakoo"
Hizi zimekuwa nyimbo kila mahali utakapopita mtandaoni imekuwa ni kawaida ya wanaoamini kuna Mungu wakijifariji kwa kuandika maneno au kuomba wakiamini kuna mtu wa ajabu yupo mahali anasikiliza maombi yao na kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.