miundombinu

  1. JamiiForums Tanzania yaomba msaada kutoka China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Dar es Salaam – Serikali imeiomba China kuunga mkono maendeleo ya miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa...
  2. JamiiForums Responded Rais Samia: Wasimamizi wa soko la Karikoo zingatieni miundombinu ya majitaka na usafi

    Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya majitaka. Amesema kuwa miundombinu ya soko hilo ikisimamiwa vyema itachangia kuwepo kwa mazingira...
  3. JamiiForums Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  4. JamiiForums Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  5. JamiiForums KERO Responded Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

    Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa . Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
  6. E

    JamiiForums Faida, changamoto za matumizi miundombinu ya kidigitali katika VICOBA

    Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA). Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye sanduku linalokaa kwa mjumbe mmoja kati yao aliyeteuliwa kukaa na funguo. Kisha wameweka utaratibu...
  7. JamiiForums Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana. Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
  8. JamiiForums Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  9. JamiiForums Tuwaadhibu walioharibu miundombinu yetu

    Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine. Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu...
  10. JamiiForums Ole wenu Magaidi na Mamluki mnaopanga kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi Dec.25.2025

    Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
  11. JamiiForums Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  12. JamiiForums Wakazi wa Geita walalamikia miundombinu duni

    Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhandisi Chacha Wambura, amefanya kikao kazi na zaidi ya wenyeviti 70 wa mitaa na vijiji kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Geita, kwa lengo la kusikiliza kero na mahitaji ya wananchi katika maeneo yao. Katika kikao hicho, hoja zilizotawala ni changamoto za...
  13. JamiiForums Adui wa Tanzania Siyo Mtumishi wa Umma, Siyo Miundombinu ya Umma, Wala Siyo Mwanachama wa Chama Fulani

    GTs 1. Kwenye mijadala ya sasa kuhusu hasira, maandamano na maumivu ya kile kilichotokea tarehe 29–30 Oktoba 2025, kumekuwa na dalili za uhasama unaoelekezwa kwa watumishi wa umma, miundombinu ya umma, au hata wanachama wa chama fulani. Ni muhimu kusimama na kusema hayo siyo malengo sahihi. 2...
  14. JamiiForums SWALI: Vijana waliokuwa wakikata vidole watu , kuua askari, kuiba mali na kuharibu mali na miundombinu ya umma wangetulizwa kwa fimbo?

    Tuweke ushabiki pembeni. Wapo wanasiasa wanaotaka kukuza umaarufu wao au kupata credits kwa matukio . Hawa mara zote huangalia upande mmoja tu. Wapo viongozi wa dini ambao waliapa kuwa Samia hatakuwa Rais mara ya pili. Wapo wengine kama vile Polepole and so hawana shida na CCM wala michezo...
  15. JamiiForums Mnaharibu miundombinu tuliyotengeneza na kujenga kwa Kodi zetu halafu watu wanawaangalia tu ilitakiwa mshugulikiwe Kama vibaka

    Hivi eti Mtanzania mwenzangu hiyo nguvu ya kubaki unawaangalia tu vibaka wakiiba na kubomoa Mali za watu na za serikali uliitoa wapi? Mbona wezi wa kariakoo huwa mnawashughulikia ilikuwaje watu wachome vituo vya mwendokasi, wabomoe maduka ya watu huku mnawashangaa tu? Uzalendo upo wapi...
  16. JamiiForums Walio wahamasisha vijana kuandamana na kuchoma moto miundombinu ndio wanao waonea huruma

    Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu, Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi. Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia. Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
  17. M

    JamiiForums Miundombinu ni ya thamani kuliko uhai wa watanzania

    Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma. Hii haikubali. -Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa watu. Ila uharibifu wa mali na miundombinu. -Hotuba hazionyeshi kukubali kuwa wapo waliotekwa, au...
  18. JamiiForums Serikali yaimarisha miundombinu ya CNG katika harakati za kuleta mapinduzi ya nishati

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI 📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha zashauriwa kutoa mikopo kwa wawekezaji kwenye sekta ya gesi 📌 Kituo cha Puma Tegeta kuwa kituo kikubwa zaidi...
  19. A

    JamiiForums KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  20. JamiiForums Waziri Mkuu akagua Mabasi, Miundombinu ya mradi wa BRT awamu ya Pili, Agosti 13, 2025

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT-2) pamoja na miundombinu ikiwemo kituo kikuu cha mabasi hayo cha Mbagala Rangi tatu na kituo cha gerezani, jijini Dar es Salaam. Katika ukaguzi huo, Mheshimiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…