Nina shaka na maono ya viongozi wa sasa kuhusiana na dhima ya ujenzi mkubwa wa Miundombinu nchini kama kwamba inarudisha kwenye zama za Utumwa na kutawaliwa.
Nakumbuka maono (Vision) ya rais Marehemu Magufuli aliweka juhudi kubwa katika Ujenzi wa Miundombinu hii sambamba na ujenzi wa Viwanda...