mitungi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INAUZWA Mitungi empty 20 jumla inauzwa sh. 350,000. Mikubwa 3, midogo 17

    MITUNGI EMPTY IPO 20 INAUZWA JUMLA 350,000/- MIKUBWA MITATU; Oryx 1, ogas 2 MIDOGO KUMI NA SABA; oryx 4, lake 4, ogas 3, taifa/mihan 5, Manji 1 Ipo Mikwambe, Kigamboni Siuzi mmoja, nauza yote jumla MAWASILIANO; +255658628441
  2. Mitungi ya kuhifadhia pombe inahitajika

    Wadau changamkieni kuna jamaa angu anahitaji mitungi 10 ya kuhifadhia Wine picha ipo kwa chini Ukiipata nicheki 0718239997 Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  3. K

    Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

    Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo. Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
  4. Mitungi ya gesi.

    Nauza mitungi midogo ya gesi aina ya Manjis. Kwa anayetaka anicheki pm nimpe maelekezo Karibuni aise ipo 15 tu na bei no 22,000/= only Tanzania shillings
  5. NHIF itangaze kama inatoa huduma ya mitungi ya gas (oxygen)

    Kutokana na ongezeko la mahitaji ya gasi ya Oxygen yaliyojitokeza hivi karibuni umekuwa na mkanganyiko mkubwa wa huduma hasa hiyo gas ya oxygen inayotumika kwa wingi Ukiangalia kwenye matangazo ya NHIF yanasema hiyo gasi inatolewa Bure. Ila kiuhalisia hiyo gasi inauzwa kwa hospitali za serikali...
  6. Mitungi ya Oxygen yawasili Bugando; tusichoke kupaza sauti kuishauri, kuipongeza na kuikosoa Serikali

    Hapo ni Bugando hospital,imeonekana mitungi inayosemekana ni ya Oksijen ikishushwa. Ikumbukwe wiki hii nzima kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni kuhusiana na ukosefu wa au upungufu wa mitungi hiyo katika hospitali hii na nyinginezo. Ni imani yetu Serikali imelisikia hilo na kulitatua haraka...
  7. Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, jitokeze na ulieleze Taifa hii mikopo na misaada ya pesa za kupambana na COVID-19 zimetumika vipi

    Habari Wana Kijiji, Binafsi nimeshtuka sana, mpaka nlidodosha bakuli langu la pombe ya kienyeji jana usiku nlipokuwa kilabuni baada ya kupata habari hizi za kuogofya na kushtua. Habari zenyewe ni baada ya kuambiwa wale jamaa zetu wanaotupa misaada kama taifa, misaada wanayotupa ya kila mwaka...
  8. Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

    Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha. Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550. Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo. Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo...
  9. Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Habari wadau. Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen. Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen. Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa...
  10. Covid-19: Uganda wakabiliwa na upungufu wa mitungi ya Oxygen, jeshi laanza kuzalisha

    Habari wadau! Jana nimefuatilia habari kwenye chombo kimoja hapa TZ kimereport upungufu wa mitungi ya oxygen katika hospital kuu za Uganda kutokana na wimbi kubwa la wagonjwa wa Uviko 19. Je, sijuhi hapa kwetu tumejiandaaje kuwapa msaada ndugu zetu UG na sisi binafsi kujikinga na wimbi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…