mitungi ya gesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. issac77

    DOKEZO PreGE2025 Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti lao uwape namba yako ya NIDA

    Wife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua. Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gas bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo...
  2. M

    Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  3. Ojuolegbha

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga. Mitungi ya gesi ya kilo 6 yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei ruzuku ya shilingi 20,950, badala ya shilingi 41,900 Lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Dkt. Damas Ndumbaro agawa Mitungi ya Gesi 150 Songea Mjini, Wanawake wamshukuru sana

    Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini "Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    REA Kusambaza Mitungi ya Gesi 13,020 kwa Bei ya Ruzuku Mkoani Shinyanga

    REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya...
  6. Lugano Edom

    Tuwe makini na mitungi ya gesi

    Ndugu zangu, Kwa wale mnaonunua gesi ya kupikia kwa kutumia njia ya usafiri wa bodaboda,kuweni makini sana hasa pale mtungi wa gesi unaposhushwa kwenye pikipiki. Inashauriwa tuacheni dakika chache ili gesi itulie kabla ya kuikonekti kwenye jiko na kutumia. Ni kama chupa iliyojaa soda halafu...
  7. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia: Badala ya Kugawa Mitungi ya Gesi, Kwanini tusigawe induction Cookers

    Mtungi mdogo wa Gesi wa Kilo Sita Net bei yake ni elfu 45 mpaka elfu 55 Nimecheki hii Induction Cooker direct from Factory huko China Hata tukichukilia kwamba dollar moja ni elfu 2600 hii cooker inaweza kuwa na gharama ndogo kuliko hilo jiko tunalogawa bure kwa watu..., LAKINI kabla ya yote...
  8. Mindyou

    Nishati safi yazidi kupamba moto Arusha! China yaipa Tanzania msaada wa mitungi ya gesi 800

    Ubalozi wa China nchini Tanzania kwa kushirikiana na Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) wametoa msaada wa mitungi ya gesi na majiko kwa makundi mbalimbali mkoani Arusha. Siku ya Jumatatu wiki hii, ubalozi wa China walitoa mitungi 800 ya gesi pamoja na majiko kwa walimu, madereva, watumishi wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Florence Samizi Agawa Mitungi ya Gesi 200 kwa Maafisi Upishi 200 Muhambwe

    DKT. FLORENCE SAMIZI AGAWA MITUNGI YA GESI 200 KWA MAAFISA UPISHI 200 MUHAMBWE. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence George Samizi amehamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba, 2024. Katika kuuunga mkono kazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. B

    LGE2024 Mbunge Samizi agawa mitungi ya gesi 200 kwa Mama na Baba lishe 200 Muhambwe, ahamasisha ushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa

    Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuenenda na Mpango wa Taifa wa utunzaji wa mazingira kwa kutumia Nishati Safi ya...
  11. Waufukweni

    Waziri Lukuvi aunga mkono matumizi ya nishati safi ya kupikia, atoa mitungi ya gesi kwa vijana

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya kata ya mpira wa miguu katika jimbo la Isimani. Waziri ametoa majiko...
  12. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri TAMISEMI ahamasisha matumizi ya Nishati safi Kigoma, Agawa Mitungi ya Gesi 200

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kigoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amewaomba wanawake wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kuhamasika na matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwani waathirika wakubwa wa matumizi ya Nishati isiyo rafiki ni wanawake. Mhe. Katimba amesema hayo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Santiel Kirumba agawa Mitungi ya Gesi 200 kwa Wakunga wa Shinyanga DC na Manispaa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Eric Kirumba mnamo tarehe 9/7/2024 alishiriki kugawa Mitungi ya Gesi kwa Wakunga wa Shinyanga DC na Shinyanga Manispaa kuwahamasisha kutumia nishati mbadala "Tunatambua majukumu waliyonayo Wakunga, ili kutimiza majukumu yao kwa haraka...
  14. Stephano Mgendanyi

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
  15. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Bashungwa Agawa Mitungi ya Gesi 300 kwa Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum

    BASHUNGWA AGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WANAWAKE NA WENYE MAHITAJI MAALUM 📌 Kuunga mkono Agenda ya Rais Samia ya nishati safi ya kupikia. 📌 Karagwe kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia. 📌 Zoezi la ugawaji wa mitungi ya gesi ni endelevu kwa Wanakaragwe. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Kampuni zinazotengeneza mitungi ya gesi hapa kwenye hichi kifuniko mnatesa wateja

    Hivi kampuni zinazotengeneza hii mitungi midogo ya gesi kwani hakuna namna hichi kifuniko cha plastic (seal) ikawekwa katika namna inayomuonesha mteja namna ya kukifungua? Au kuna namna yake ya kuifungua na mimi sifahamu ndugu zangu? Maana unakuta hadi unatumia pliers, kisu, screwdriver, etc...
  17. B

    Mbunge Kishoa afanya ziara kata ya Ibaga, Mkalama. Agawa mitungi ya gesi, kuchangia 3.7M ujenzi wa Zahanati

    Mhe. Jesca David Kishoa (Mbunge wa Viti Maalum -Singida) Jana Jumamosi amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Ibaga, Wilaya ya Mkalama. Ziara hiyo ni mahsusi ya kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuliongoza na kuliletea maendeleo Taifa...
  18. R

    SoC03 Teknolojia ya mita kwenye mitungi ya gesi

    MATUMIZI YA MITA KWENYE MITUNGI YA GESI Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye hifadhi kubwa ya gesi asilia. Ripoti mbalimbali zinaonyesha kwamba Tanzania inakadiriwa kuwa na gesi asilia yenye ujazo wa mita trilioni 230, ingawa imethibitishwa hadi sasa ni futi trilioni 57.54. Kutokana...
  19. Mzalendo Uchwara

    Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    "Systemic problems requires systemic solutions" Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao. Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Husna Sekiboko Agawa Mitungi ya Gesi Kijiji cha Lukozi, Lushoto-Tanga

    MBUNGE MHE. HUSNA SEKIBOKO AGAWA MITUNGI YA GESI KIJIJI CHA LUKOZI, LUSHOTO-TANGA Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Tanga, Mhe. Husna Juma Sekiboko tarehe 11 Machi, 2023 alifanya ziara katika kijiji alichozaliwa, Lukozi na kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho ambao walimueleza Mbunge...
Back
Top Bottom