Wewe ni mzuri ndio hatukatai.
Una wowo ndio hatukatai.
Unanyota kali kila mwanaume anakuulizia na kukuzimikia ndio hatukatai.
Kwamba unaenda viwanja vikubwa na watu wazito wenye pesa zao Ndio hatukatai
Unajua style zote kitandani na hata ile mpya ya Mafwele kateka tena ni Sawa hatukatai...
Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani?
Mimi nitawachumu kwa busu la kenge.
"Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo.
Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
Nina uhakika mama umelala, ila mwenzako sijalala nalitumikia taifa, mama je WAMJUA yule kijana aliyekupa bilioni 10 ili uingie IKULU?
Kama humjui, lile faili ndioooo yeye - lipo MEZANI kwako ukitaka lisome; hutaki - acha!
Tangu kupata uhuru mwaka 1960, Historia ya Urais nchini Mali imegubikwa na misukosuko ya kisiasa, ambapo karibu kila mabadiliko ya madaraka yamehusisha mapinduzi ya kijeshi. Kuanzia kumuondoa Modibo Keïta mwaka 1968, hadi mapinduzi dhidi ya Amadou Toumani Touré mwaka 2012, na Ibrahim Boubacar...
Nilikuwa sijui kumbe Kafanya mengi sana kuliko matarajio.. kumnyima 5 tena ni hasara kubwa sana. Kayasema mpaka nikasinzia. Nadhani hata chadema wamepata ganzi na gagaziko.
Tutabishana sana na madalali humuhumu mitandaoni
Kwa jinsi alivyoiendea mechi ya leo ni wazi anakijua anachokifanya. Nashauri Yangq imuongezee nguvu kwa kuziba madhaifu yaliyopo na kumpa uhuru wa kupanga na kuamua kikosi. Sababu zangu ni hizi.
1. Jinsi alivyoweza kuwasoma na kudhibiti ufanisi wa Simba kupitia Mpanzu, Kibu na Budo
2. Jinsi...
Boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza) inayosafirishwa kwa njia ya barabara imegeuka kama jukwaa la kampeni maana imeandikwa mitano tena, kazi iendelee. Sasa je mali ya wanachi wote ya watanzania imeaguzwa kuwa kama mali ya mtu moja?
My Take
Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ametumia jukwaa hilo kuwakumbusha wanachama wa CCM nchini kuwa kwa sasa mgombea...
Kwakua deni la Taifa Bado ni himilivu, mama aendele kukopa mpaka Kila mtanzania adaiwe milioni 10🤣.
Katika vitu ambavyo mama ananikera ni kukopa kopa 😡 Hajui mikopo huleta umaskini hasa ikiwa inakopwa bila mpangilio maalum!?.
Ndani ya miaka 3 mama kakopa kuwazidi watangulizi wake, halafu...
Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected.
Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya...
Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni.
Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu.
Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
Akizungumza wilayani Ruangwa Waziri mkuu amesema wao ndiyo waanzilishi wa kauli ya mitano tena kisha ikasambaa nchi nzima.
"Na sisi ndiyo waanzilishi wa neno la mitano tena, sisi ndiyo wasemaji wa kwanza tunataka fomu moja ya Dkt. Samia kupitia halmashauri kuu. Tulipokuwa na sherehe yetu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.