mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu
  2. TANESCO: Tunawashauri wateja wetu kununua umeme kupitia vituo vya mawakala wetu wa LUKU nchi nzima

    TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180 TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME Jumamosi 27 Disemba, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha wateja kushindwa...
  3. H

    PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

    Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
  4. Mitandao ya simu itakayofuata maelekezo kutoka Serikalini kufunga au kudhoofisha internet ifunguliwe mashtaka

    Baada ya nchi kukombolewa, mitandao ya simu itakayofunga internet kuelekea uchaguzi inapaswa kufunguliwa mashtaka. Kwanini unawazimia watu milioni 70 mawasiliano, kisa watu wachache? kisa siasa? kisa interests za wachache? Intaneti ni uti wa mgongo wa biashara za kimataifa, watu wanategemea...
  5. Kwanini Taasisi huwa hazisomi emails za wateja ? Tatizo la Benk za Tanzania na mitandao ya simu

    Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania 🇹🇿 Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia week kujibu Hata kwenye benk zetu Kama NBC na NMB hao ndo kabisa unaandika ujumbe emails zinajibiwa...
  6. A

    KERO Mitandao ya mawasilino haswa Halotel na Yass mmelala? Kuna changamoto katika mawasiliano

    Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi 1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa atasikia. 2. Utaongea halafu baada ya dakika chache ghafla sauti inakatika, unalazimika kukata...
  7. Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

    Mi ninazo zijua 1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money -Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma 2.Luku Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent fulan wanakata ukinunua umeme zaman haikuepo
  8. N

    Mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel , Yas wana lipa commission ya asilimia ngapi kwa kila muamala?

    Mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel , Yas wana lipa commission ya asilimia ngapi kwa kila muamala???
  9. Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  10. Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

    Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
  11. Je, Kodi kwa Mikoa, Wilaya na Mitaa inafaa kwa sasa katika Taifa letu

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza. Hivi ni lini tutaweza kutoza Kodi Mikoa, Wilaya, Kata na Kijiji/ Mtaa? Ili wanavyopelekewa fedha za Umma kwaajili ya maendeleo wanapaswa waonje uchungu, wawe makini na waweze kuweka nidhamu ya fedha. Karibu.
  12. A

    KERO Kuna changamoto gani kwenye mitandao ya simu? Unatuma ujumbe haumfikii muhusika, au unapiga simu na inaita lakini simu inakuwa haijatoka!

    Naomba mamlaka inayosimamia mawasiliano nchini itusadie kuzungumza na makampuni ya simu kutatua changamoto za kimawasiliano. Maana unaweza kutuma ujumbe wa maneno(sms) leo ikaonesha ujumbe umepokewa, lakini cha kushangaza ukimuuliza mhusika baada ya kupita muda mrefu anakuambia hajaona/hajapokea...
  13. W

    Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  14. D

    AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  15. Mitandao ya simu: Usiku wa kuamkia leo na ninyi mlidukuliwa ama shida ilikuwa ni nini?

    . Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti. . Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya. . Asubuhi naamka kisha...
  16. Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
  17. PreGE2025 Mbunge Nollo: Kuna Intaneti ya Mitandao ya Simu inasumbua kama kuni mbichi

    Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo amesema kuna mazingira kadhaa yanayosababisha Watu wengi kutotumia intaneti ikiwemo baadhi ya Mitandao ya Simu kuwa na huduma mbovu ya intaneti.
  18. Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo! Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
  19. Mitandao ya simu mnaibia wateja

    Ni dhahiri kwa sasa ukiweka bundle linaisha kwa haraka kwenye data, na sababu ni Makampuni ya simu kuibia wateja Mchezo huu umekithiri sana sasa kuelekea uchaguzi. Ni kosa makampuni ya simu kifanya wizi wa kidola dhidi ya watumiaji
  20. Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…