mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Gwajima ahimiza Serikali za Mitaa kuimarisha ulinzi na usalama kwa mtoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
  2. Askofu Bagonza ni zaidi ya Mtumishi, Rais Samia ongeza Mishahara kwa Watumishi Serikali za Mitaa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
  3. Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
  4. C

    Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  5. Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  6. Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

    Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
  7. Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, Tunakuomba Utembee Miradi ya Maendeleo ya Moshi Manispaa Kuna harufu ya ufisadi mkubwa

    Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa. Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
  8. Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakay

    Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  9. Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

    Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  10. Mamlaka zinazohusika ziangalie Mbwa wanaozagaa Mitaani bila uangalizi maalum, wanaweza kuwahatarishi kwa Watu

    Imekuwa kawaida kuona wanyama mbalimbali hasa wale ambao wanaonekana hawana madhara ya mara kwa mara kwa Watu wakiwa mitaani hawana muelekeo, lakini inapotokea Wanyama hao wanaanza kusababisha madhara ndipo ambapo Mamlaka zinaibuka kuanza kuchukua hatua. Mfano huku mitaa ya kwetu huku Dodoma...
  11. Waziri Aweso awataka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa Mitaa ili kutatua changamoto za maji na kurahisisha utoaji wa huduma

    AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
  12. DAWASA yawafunda wenyeviti wa mitaa usimamizi huduma za Maji

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya kuwashirikia viongozi wa Serikali za mitaa kwenye utekelwzaji wa majukumu yao. Amesema hatua hiyo itawasadia...
  13. D

    Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
  14. Hatimaye gari la taka lapita kukusanya takataka mitaa ya Singida

    Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery, hatimaye taka zimeanza kuchukuliwa kutoka...
  15. Mtani wangu Oten wa Moro ulitupiga kamba kwenye Ngoma yako ya nicheki, upanga siyo mitaa ya kisure bal ni uswahilini

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika kristo Mimi kama msukuma napingana mambo kaza wa kaza juu ya Ngoma ya oten ya nicheki, cha kwanza Ngoma ni kali sana huo ndo ukweli, sema mtani wangu huyu alizidisha uongo uongo mwingi sana Jamaa anasifia mitaa ya upanga ni mitaa ya kisure , ukweli ni...
  16. DAWASA na TARURA warekebisha barabara zilizoharibiwa kutokana na mifumo ya Majitaka Mitaa ya Mbezi Beach

    Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
  17. DOKEZO Wizara ya Afya ifuatilie ubora wa nyama inayouzwa Mitaa ya Mpemba – Tunduma pia wauzaji hawazingatii usafi

    Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza zikiwa zimeharibika. Nimefuatilia na kubaini kuwa mara nyingi nyama hizo zimekuwa zikiweka kwenye...
  18. Polisi wa Hamas katika rangi ya bluu warudi mitaa yenye vifusi kote Gaza kulinda amani

    Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
  19. RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
  20. KERO TARURA irekebishe miundombinu ya Malolo - Tabora, Wananchi tunateseka kwa Mitaa kujaa maji

    Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa kutaabika na wakati mwingine wenzetu kupoteza maisha kila kukicha. Iko hivi, sisi wakazi wa Malolo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…