mita

Stimulator of interferon genes (STING), also known as transmembrane protein 173 (TMEM173) and MPYS/MITA/ERIS is a protein that in humans is encoded by the STING1 gene.STING plays an important role in innate immunity. STING induces type I interferon production when cells are infected with intracellular pathogens, such as viruses, mycobacteria and intracellular parasites. Type I interferon, mediated by STING, protects infected cells and nearby cells from local infection by binding to the same cell that secretes it (autocrine signaling) and nearby cells (paracrine signaling.)
STING works as both a direct cytosolic DNA sensor (CDS) and an adaptor protein in Type I interferon signaling through different molecular mechanisms. It has been shown to activate downstream transcription factors STAT6 and IRF3 through TBK1, which are responsible for antiviral response and innate immune response against intracellular pathogen.

View More On Wikipedia.org
  1. TANESCO naomba mje mnipe mita yangu huyu dogo hapa simwelewi

    Hahaa nimejitutumua utazan bei najua ya kufungiwa mita private hapa ofisin. Wakuu nipeni Raman hapa salon hichi kifaa mita kufungiwa hapa ofisi bei gani? Pesa hazinifikii kwa wakati huku dogo akivimba tu mashavu. Dah.
  2. Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  3. Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  4. Taarifa kwa umma Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia tarehe 26 Agosti 2024...
  5. Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Jumamosi, 17 Agosti 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia...
  6. W

    Sababu ya Noah Lyles kushinda mbio za Mita 100 Olympics

    Mashindano ya Riadha za Mita 100 kwa upande wa Wanaume katika Michezo ya Olimpiki yameibua mjadala baada ya Noah Lyles kutangazwa Mshindi licha ya Wakimbiaji wengine kuonekana wamevuka Mstari Wachunguzi wa Kisayansi katika Michezo wamedai mguu wa Thompsor ulikuwa umevuka mstari kabla ya Noah...
  7. Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji

    AWESO ATEMBELEA VIWANDA VYA KUZALISHA MITA ZA MAJI ZA MALIPO KABLA CHINA, ASEMA WAKATI WA MABADILIKO NI SASA Shangai, China Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji...
  8. SoC04 HeWasha: Mfumo mpya wa kuwasha Umeme 'Automatic' baada ya kununua units bila kujaza token kwenye Mita

    Utangulizi Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
  9. Zoezi la TANESCO la kubadili Mita limejaa Usumbufu, Utapeli na Ubabaifu

    Kwema Wakuu, Mimi ni mkaazi wa Kitongoji Kimoja wilaya ya Kinondoni hapa Dar es Salaam. Jumatatu nilipigiwa simu na watu wa TANESCO kunifahamisha kua Kwa kua number ya mita yangu inaanzia na 24... basi nitabadilishiwa mita hiyo kesho yake yaani juzi. Juzi Jumanne kweli walikuja asubuhi...
  10. Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
  11. Mbunge wa Sumve, Kasalali Kasalali Mageni: Mawaziri wanatupa ahadi hewa tu, Wananchi wa Sumve hatuna lami hata Mita moja

    Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amechangia Bungeni Jijini Dodoma, leo April 4,2024 ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuzungumza na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kutekeleza majukumu...
  12. K

    Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
  13. U

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari. Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama...
  14. Naomba msaada jinsi ya kusoma Mita ya maji (DUWASA)

    Salam wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili. Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya watu wanne tu lakini jana wamenitumia bili elfu thelathini. Ningesema pengine labda kwakuwa nilipanda...
  15. Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Wakuu nisaidieni nijue fensi nzuri.
  16. Jengo la PSPF mita 134 ndo Refu Tanzania, Wenzetu wanajenga Jengo lenye Urefu wa Mita 1,700 huko Tokyo

    Jengo la PSPF Ukiacha na Jengo refu kabisa duniani la Burj Khalifa la huko Dubai lenye urefu wa kwenda Juu zaidi ya Mita 828, sasa yanajengwa Majengo mapya Marefu kulipita na yanatazimwa kufunika kabisa Khalifa. Je, Watafanikiwa kuyajenga? Jengo la TPA Kwa Upande wa Tanzania, Jengo PSPF...
  17. P

    Suala la DAWASA kukosa mita za kuwafungia wateja miezi minne limulikwe

    Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma. Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
  18. A

    DOKEZO Kipande cha barabara Rombo - Tarakea mkoani Kilimanjaro mkandarasi amevunja kipande cha lami chenye mita 500 amemwaga vifusi bila kusawazisha

    Ametoa daivesion bila kueka kibao kua kuna daivesion wageni wakija wanapitiliza na kudondokea kwenye vifusi pia divesion imechimbika mashimo na mkandarasi ashahamisha mitambo yake
  19. P

    Tatizo la mita za kusoma maji, DAWASA toeni ufafanuzi wa kueleweka, mnawanyonya na kuwaibia wananchi

    Wakuu kwema? Suala la mita za DAWASA limekuwa ni changamoto na kero kubwa kwetu watuamiaji, na si kwamba ni watu wachache, malalamiko ni mengi ikiwemo na kwangu mdau lakini DAWASA wanakaza shingo. Nilishangazwa na mhudumu wa DAWASA kuona ni jambo la kawaida kwa familia ya watu watatu kuletewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…