mimi

  1. JamiiForums Tanzania Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  2. JamiiForums Tanzania Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  3. JamiiForums Tanzania Jakaya mimi ni timu yako ila kwa Sasa mambo yetu so mazuri

    Niko Nawe kitambo ila kwa Sasa mambo siyo Kaka Nitaandika soon
  4. JamiiForums Tanzania Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

    Lakini October tuka ✔️ Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana, lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa, na unafahamu kwa nini unatulaza njaa. Siri na...
  5. JamiiForums Tanzania Kipi kinakutoaga kwenye mood? Karibu tushirishane

    Mood imenitoka baada ya kusubiri dili fulani la pesa ila dakika za mwisho mambo yakaenda tofauti Vipi wewe mdau kipi kinakutoaga kwenye mood karibu tushee experience
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yangu sikivu nihurumieni Mimi Mwalimu Sina nguvu za kumtikia CWT

    Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena
  7. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  9. O

    JamiiForums Tanzania KIJANI kusomba Watu Hawajaanza Leo! Mimi Mwenyewe Nikiwa Mwanafunzi Darasa la 4 Shule Flani Apo Mwanza Nilisombwa Kwenda Kumshangilia JK 2005 kirumba!

    Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea! Nikiwa Mwanafunzi wa darasa la 4 mkondo A pale shule ya msingi Nyamanoro, nakumbuka tulisombwa kwenda CCM kirumba tena...
  10. JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba...
  11. JamiiForums Tanzania JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

    Wakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde Wapo walioguswa na kutoa ushauri mzuri nini cha kufanya pia wapo walio kejeli ( hawakosekanagi hawa ) pia wapo walioponda...
  12. JamiiForums Tanzania Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

    Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa. Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
  13. JamiiForums Tanzania Mimi sifurahishwi na kinachoendelea ila siwezi kuandamama wala kuipinga serikali ili niuliwe na kupotezwa never .

    Vijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako. MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama wamepotezwa huku Mbowe akila bata na hawazi lolote. Inasikitisha sana .
  14. JamiiForums Tanzania Kama unapenda muziki utakubaliana na mimi zile amapiano za mwanzo kipindi cha corona zilikuwa noma sana

    Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee. Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
  15. JamiiForums Tanzania Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

    Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia.. Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄 Sasa bana kila mtu...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mimi nafikri muda mwingine shetani akikaa na ku-review mambo kama haya huwa anasikitika sana namna anavyosingiziwa muda wote

  17. JamiiForums Tanzania Kuna matunda mengi sana, ila mimi nalipenda zaidi hili... Je wewe unapenda lipi zaidi?

    Habari Wadau: Inafahamika kuwa kila binadamu ana kile anachokipenda zaidi, na asichokipenda zaidi katika vyakula na matunda.. Kwenye upande wa matunda nayapenda mengi tuu, ila katika hayo yote kuna tunda nalipenda zaidi na bahati mbaya sikutanagi nalo mara kwa mara, Tunda lenyewe linaitwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu sipendi kutumia Ofisi za Serikali?

    Binafsi sipendi kabisa kwenda hospital za serikali ukifika watumishi wana jifanya wapo bise kuliko kawaida una jielezea shida yako DR wakiume ana kuangalia kwa jicho La dharau sana Ukija TRA hapa sito enda tena namtuma mtu afwatilie nipigiwe simu tu uki ingia ofisi zao wana jifanya kama hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

    Habari ya mjini ndiyo hiyo: mimi ni mtoto wa Mfalme; ndiyo sababu natembea kifua mbele!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…