milipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Mingurumo au milipuko usiku huu Dar es Salaam

    Niko Manzese nasikia milipuko muda mrefu mnaisikia au masikio yangu tu? mwanzo nilijua radi ila bado inaendelea kuna nini?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Milipuko ya ajabu

    Ee bwana weee..leo usiku wa kuamkia tarehe 23 niliona PT imenipita sehemu speed around 2355 Kufika sa 0000 nasikia milio risasi si risasi mabomu so mabomu Niko mwenyewe sijui nikimbilie wapi nikawa nasubiri nione wanapokimbilia badae nikasema wacha nitoke nione ndo kushangaa anga linameremeta...
  3. Axel Lloyd

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaishambulia tena Crimea, milipuko yaripotiwa

    Ukraine yaripotiwa kufanya Mashambulizi ndani ya Crimea na kusababisha mlipuko kwenye ghala la silaha. Urusi yakanusha kwamba ni shambulio yasema ni ajali. ============= KYIV, Aug 16 (Reuters) - Explosions shook an ammunition depot in Russian-annexed Crimea on Tuesday, the latest such incident...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Baada ya Crimea, matukio ya milipuko mingine yaibuka kambi za jeshi Urusi na Belarus

    Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuliamsha.... Military bases in Russia and Belarus were rocked by an outbreak in fires...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Milipuko yarindima ndani ya mji wa Urusi

    Majengo yalipuka huku milipuko ikiendelea.... ====== Russia has accused Ukraine over explosions which reportedly killed three people in the city of Belgorod, near the border with Ukraine. The regional governor said the blasts hit dozens of residential buildings and air defences had been...
  6. Gama

    JamiiForums Tanzania Mji wa Bolgorod wa Urusi washambuliwa kwa milipuko

    Mji wa Bolgorod uliopo Km 40 kutoka mpaka wa urusi na Ukraine umapatwa na milipuko uliosababisha nyumba kadhaa kuharibiwa na watu kadhaa kupoyteza maisha. Kiongozi mmoja wa Urusi ameapa kuwa ukraine itawajibishwa kwa tukio hili FUATILIA HAPA Explosions Hit Russia's Belgorod as Governor Says...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afghanstan: Watu sita wauawa baada ya shule ya Abdul Rahim Shahid kukumbwa na milipuko miwili

    Takriban watu sita wakiwemo wanafunzi wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kulenga shule ya wavulana katika kitongoji cha Dasht-e-Barchi katika mji mkuu wa Afghanistan, msemaji wa polisi wa Kabul amesema. Khalid Zadran aliliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumanne...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

    Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe mtoto wako kwamba hutalegeza msimamo wako. Elewa hali yake. Mtoto wako si mtu mzima. Kwa kuwa hajui...
  9. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Milipuko Jiji la Kampala na msemo wa Kiswahili "Mgema akinyolewa tembo..."

    Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Milipuko ya gurunedi yakumba Bujumbura

    Idadi ya watu wasiojulikana huenda wamejeruhiwa katika shambulio la gurunedi usiku wa Jumatatu katika mji mkuu wa kibiashara wa Bujumbura nchini Burundi. Walioshuhudia tukio hilo wanasema milipuko miwili mikubwa ilisikika baada ya gurunedi mbili kulipuka katika kituo cha mabasi kilicho na...
  12. sisya

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

    Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga. Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna. Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa...
Back
Top Bottom