milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kiteto Akagua Miradi ya Milioni 390 Kata ya Kiperesa

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AKAGUA MIRADI YA MILIONI 390 KATIKA KATA YA KIPERESA, KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Jimboni katika Kata ya Kiperesa na kukagua Ujenzi wa Miradi katika Sekta ya Elimu, Afya, Maji na Barabara...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Amueni moja mpeni huo Mshahara wa Milioni 40 au Muuzeni kwa tumechoka sasa na Kuvutana Kwenu

    Kwa Washambuliaji mahiri waliowahi kupita / kucheza Yanga SC hata huyu Mayele bado hajafikia 50% isipokuwa saaa anaimbwa na kupambwa kwakuwa tu Nyota imemuwakia na Vyombo vya Habari nchini Tanzania vinampamba mno ila ni Mchezaji wa Kawaida tena sana. Na kwa huku Kuvutana Kwenu nae kwa Siku ya 5...
  4. JamiiForums Tanzania 2026 hapa bongo patakuwa na wachezaji wanalipwa milioni 50 kila mwezi

    Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa. Makampuni tunayaona kwa sasa yanataka ukaribu kwa namna yoyote na hizi timu, si ya hapa kwetu tu bali hata nje...
  5. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  6. JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Twitter uko shakani, mtandao wa Threads wawafikisha watumiaji milioni 100

    Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter. Wakati huohuo, takwimu za mitandao zinaonesha kuwa kasi ya matumizi ya Twitter imeshuka ndani ya siku chache...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

    Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge. Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima. Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala. More money poor performance.
  8. JamiiForums Tanzania Yanga SC bwana yaani Beki huyu Mbovu Gift Fred wa Uganda ni wa Kumsajili kwa Tsh Milioni 115 Kweli?

    Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili. Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa...
  9. JamiiForums Tanzania Milioni 500 Kumaliza Ujenzi Kituo cha Afya Madilu - Jimbo la Ludewa

    MILIONI 500 KUMALIZIA UJENZI KITUO CHA AFYA MADILU Mbunge wa jimbo la Ludewa Joseph Kamonga amesema nwaka huu serikali inatoa kiasi cha sh. Mil. 500 kwaajili ya umaliziaji ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Madilu ambacho wananchi wamejenga kwa asilimia 80 kwa kuchangishana fedha kwa kipindi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Shilingi milioni 5 mtu anaweza akafanya biashara gani?

    Umu kuna wajuzi na wadau wa mambo mbalimbali naona mtaweza saidia katika hili. Shilingi milioni 5 ya kitanzania mtu anaweza akafanya biashara gani ya kumuingizia kipato kizuri. Msada wenu wakuu.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga aanza kukusanya saini milioni 10 kwa lengo la kumuondoa Rais Ruto madarakani

    Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amezindua mchakato wa kukusanya saini milioni 10 kabla ya Ijumaa wiki ijayo kwa lengo la kumuondoa Rais William Ruto madarakani. Azimio La Umoja One Kenya Party leader Raila Odinga has vowed to marshal up over 10 million signatures to kick-start what he terms...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

    Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld? Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
  13. JamiiForums Tanzania Milioni 29 Zatolewa na Mbunge wa Viti Maalum Katavi Kuwainua Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023 ameanza ziara rasmi kutembelea Kata zote za Mkoa wa Katavi na kuzungumza na wananchi. Katika ziara...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Milioni tano naweza pata wazo gani la kufungua biashara

    Habari za Leo ndugu zangu, vijana wenzangu? Natumaini Mungu anaendelea kutupigania katika mapito yetu ya kila siku. Nimekaa natafakari sana Hili wazo: Kwamba Kwa umoja wetu, kupitia mikakati sahihi, tunaweza kabisa kuondokana na Hali ya UMASIKINI, utegemezi na janga la ukosefu wa ajira...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

    Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo. Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea...
  16. JamiiForums Tanzania Mkusanya Mapato afungwa miaka miwili Jela licha ya kurejesha Tsh. Milioni 10.6 alizoficha

    Ni Sylivester Vananth, aliyekuwa Mkusanya Mapato ya Halmashauri ya Ngara, Kagera aliyepewa hukumu hiyo na Mahakama baada ya kukutwa na hatia katika Kesi ya Uhujumu Uchumi na Ubadhirifu. Mshtakiwa alikiri Kosa na kuomba huruma ya Mahakama kwenye upande wa adhabu kwa kuwa ameshalipa Tsh...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli huyu Declan Rice ana thamani ya paundi milioni 100?

    Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice. Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

    Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira, Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, inawezekanaje watu milioni 60 kuwalillia kwa machozi ya damu watu wasiozidi 20 na bado wakaleta dharau?

    Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu wasiozidi 20, kuwaomba wasiingize nchi utumwani kwa kugawa bure rasilimali za taifa, lakini kwa dharau na...
  20. JamiiForums Tanzania Kukopesha bila kuwa na leseni adhabu faini milioni 20, jela miaka miwili

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo. Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…