Wakizungumza Jumapili Februari 22, 2026 katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi, Viongozi wa Upinzani Kenya Wamedai kuwa serikali kupitia polisi na magenge ya vijana imekuwa ikivuruga mikutano ya kisiasa ya Upinzani, ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i alihoji...
Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani.
Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani.
Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka.
Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura.
Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya...
Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia.
Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha.
Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize.
Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama chawa wengine wafanyavyo?
CCM inakutana na changamoto kubwa katika kukusanya wanachama kwenye mikutano bila kuzingatia muda wa watu. Kwa mfano, Dr. Emmanuel Nchimbi alipokuwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, wanachama wa CCM walipata tangazo kuwa atawasili Jimbo la Hai saa 2 kamili asubuhi.
Hata hivyo, wanachama...
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.
Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
Ikiwa mikutano ya kupiga kampeni kuendelea nchini. Chama cha CCM kwenye mojawapo wa mikutano yao wameonekana kuwanyima wanachama waliohudhuria kupiga picha wala kirekodi katika mikutano hiyo. Kwani nini kinaendelea?
Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto
Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
Ama kweli hamkani si shwari kwa Chama Cha Majizi.Wenye kujitambua hawana muda wa kusogea kwenye 'maonyesho' yao.
Zoa zoa na kusanya kusanya kwengineko kujaza mikutano sasa inakwenda mbali zaidi.Sasa ni kukusanya na wanafunzi kujaza mikutano bila ya kujali ni Jumapili au likizo.Nimejionea...
Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani.
Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania.
Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
Wakuu,
Nadhani CHAUMMA ndo chama kinachosimamia na kutekeleza Sera zake kwa uwazi
Yaani sera ya Ubwabwa inasimamiwa ipasavyo, wananchi wanakula tena kwa mwenendo huu lazima watu wajae kwenye mikutano yao maana tunatika nyumbani bila bajeti ya mchana tunaenda kula ubwabwa wa CHAUMMA
Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali.
Akizungumza katika Jukwaa la Wadau wa Sekta ya MICE...
Mh. Jaji Mkuu,
Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania.
Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na utawala bora. Mungu ambariki.
Pamoja na haya, wapo baadhi ya mahakimu wanaosumbua sana wananchi, hasa...
Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa.
Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni.
Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...