Mwanamuziki wa Uingereza na aliyewahi kushiriki Britain’s Got Talent, Natalie Okri, amezua gumzo baada ya kudai kuwa baadhi ya wigs za nywele halisi huleta mikosi na bahati mbaya.
Katika video aliyopost Instagram, Natalie alisema:
• Nywele halisi zinabeba utambulisho wa mtu, zina DNA (vinasaba)...