mikononi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyomuokoa Trump mikononi mwa mahasimu wao wa Iran ambapo Trump alikuwa auwawe

    Israel iliionya Marekani kuhusu mipango ya Iran ya kumuua Trump kwenye Air Force One, ilisaidia kutoroka kwake. Kulingana na ripoti hiyo, kufuatia tishio hilo, Trump awali alipanda, mbele ya vyombo vya habari, ndege ambayo hapo awali ilikuwa Air Force One...
  2. JamiiForums Tanzania BANK-M mikononi mwa Firoz Bayi, Kutakatisha Pesa za wa siasa

    Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii, Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India ...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare: Kijana afariki akiwa mikononi mwa Polisi, wananchi waandamana kushinikiza haki na uchunguzi huru

    Wakazi wa Mathare wameandamana wakitaka haki na uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha kijana Eric, ambaye familia yake inasema alijeruhiwa akiwa katika seli za polisi. Kulingana na taarifa iliyo kwenye video ya NTV iliyotumwa, familia imeomba uchunguzi huru wa mwili (independent autopsy) ili...
  4. JamiiForums Tanzania Nasahau kuvaa saa mikononi navaa huu ujinga 😁

    Karibuni Bia wakuu it's Sunday,
  5. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi West-Bank(Jude’s & Samaria)iko mikononi mwa Israel 🇮🇱!!!!

    Baraza la Mawaziri la Usalama la Israeli liliidhinisha hatua madhubuti za kisheria za kuimarisha utawala wa Israeli huko Yudea na Samaria: ✅ Imefuta sheria ya zamani ya Jordan iliyowapiga marufuku Wayahudi kununua ardhi. ✅ Kuhamisha mamlaka ya kibali cha ujenzi huko Hebroni kwa Utawala wa...
  6. JamiiForums Tanzania TETESI: Mkuu wa BLACKWATER, Erik D. Prince ajikuta mikononi mwa makomando wa M23

    Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na kundi la M23 huko Kivu kusini. Prince aliwasili nchini DRC akitokea nchi jirani ya Burundi...
  7. JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania !IMPORTANT, No sportwashing, Mkataba kati ya Manchester United kusafisha Damu ya Watanganyika mikononi mwa CCM

    Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania Hii ni summary ya huu mkataba Company: MANCHESTER UNITED...
  9. JamiiForums Tanzania Ni uhakika kuwa Waafrika tumeshindwa kusoma vitabu, lakini kuna fursa tunayo mikononi mwetu, 2026 simu yako iwe na networks hizi ili tujihimalishe

    Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi. Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
  10. JamiiForums Tanzania DRC: Uvira yaelekea kuangukia mikononi mwa M23

    Baada ya kuibuka vita kali kati ya M23 na jeshi la FARDC, likisaidiwa na mamluki kutoka nchi za ulaya na marekani, kundi la FDLR, Kundi la wazalendo, jeshi la Burundi na kundi la Imbonerakure kutoka Burundi, mpaka sasa, inasemekana M23 inakaribia Uvira mjini, umbalo usiozidi Km20. Jeshi la...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Tanganyika ndo imekuwa mikononi mwa wananchi, inakuwaje kwa hawa.?

    Nawaza mbeleni kwanza tu. Nikiwatazama Wakuu wa mikoa, RPC, IGP, DGI, Mahakimu, watoto wa wakubwa, wabunge, machawa, wasani wao, Account zinazoshangilia n.k. Kuna kitu kinaitwa kihoro kitaondoka na wengi.
  12. JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  15. JamiiForums Tanzania Best selling products ever worldwide: Kati ya hizi ni ngapi zimepita mikononi mwako?

    Wakuu. Leo kuna list hapa ya baadhinya products zilizovunja record ya mauzo Duniani kutokea kutengenezwa hadi leo. 1. Magari - Toyota Corolla (50 M+) 2. Simu - Nokia 1100 (250 M+) 3. Game console - PlayStation 2 (160 M+ units) 4. Video game - Minecraft (300 M+) 5. Kitabu - Biblia (billions...
  16. JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
  17. JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  18. JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  19. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA KWA YESU: Hatimaye jiji limeangukia mikononi mwa mitume na manabii

    Geneva of africa is fall down Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia kivuli cha dini kufanya utapeli. Wanauzia watu maji na mafuta wanayowaaminisha watu kuwa ni ya upako na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

    KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…